Samatta hana kiwango Cha kucheza EPL

Samatta hana kiwango Cha kucheza EPL

Ulichoandika hakikuwa na uhusiano ni nilichokuwa nimemjibu mwanzisha mada. Halafu vile unachoandika wewe ndiyo ya kuangalia negatives tu; kwa nini usiwe na imani kuwa kaenda Congo kapiga, kaenda Ubelgiji kapiga mpaka wanamlilia anapoondoka, leo wewe hapa unakalia negative theories za kuwa anaweza kushindwa kama vile wewe unajua uwezo wake na akili yake anapokuwa uwanjani. Wataalamu wa akili za binadamu husema watu wenye negative minds kama wewe pia huwa na negative results katika mambo yao.
Umenena vema saana mkuu!
 
Sure, na pia wataalamu wa mambo wanasema watu wanaotabilia negative issues huwa huombea au hushiriki kikamilifu katika kutengeneza matokeo hasi ili kuprove negativity zao. Basi usikute akienda ibadani anaombea flani asifanikiwe ili neno lake litimie
 
Kuna kijana ana 24 anaitwa Aleksandar Mitrović yuko Championship [emoji23][emoji23]. EPL pale kuna watu samatta hawezi hata kufunga kamba za viatu vyao mfano Artunovic ila bado hawana majina bado EPL. Sammata mchezaji mzuri ila siyo star kama tunavyosema nchi yetu watu wanaongea sana. Olunga yule mkenya aletupiga magoli angekuwa Mtanzania watu tungeongea sana ila mkenya so wakawaida.
Ndio kaenda sasa......kila mmoja atafunga kamba za viatu vyake!!
 
Kwahiyo we unajua zaidi kushinda coach wa Aston villa na scout wao? We unataka vigezo gani ambayo unajua yupi anastahili kucheza Epl?

Yaan mtu hata game 1 ajacheza mnaanza umbea vp kama akifanya vzr zaidi utaongea nn siku za mbele ww?
 
Labda akacheze championship,
Kwa hiyo Aston Villa hawajaona mchezaji mwingine dunia nzima mpk wakamchukua asiye na kiwango cha kucheza EPL?

Halafu ili uwe na kiwango cha kucheza EPL unatakiwa uwe na pembe kichwani au uweje?

Mpeni muda, ndio tujue. Wabongo tuache uchawi. Kuwa mchawi sio lazima uwe na tunguri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye akili tulishaliona hili, premier League hakuna ujanja ujanja like ni kazi tu
 
Unasema je
Kwa hiyo Aston Villa hawajaona mchezaji mwingine dunia nzima mpk wakamchukua asiye na kiwango cha kucheza EPL?

Halafu ili uwe na kiwango cha kucheza EPL unatakiwa uwe na pembe kichwani au uweje?

Mpeni muda, ndio tujue. Wabongo tuache uchawi. Kuwa mchawi sio lazima uwe na tunguri

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema je mkuu
 
Back
Top Bottom