Umenena vema saana mkuu!Ulichoandika hakikuwa na uhusiano ni nilichokuwa nimemjibu mwanzisha mada. Halafu vile unachoandika wewe ndiyo ya kuangalia negatives tu; kwa nini usiwe na imani kuwa kaenda Congo kapiga, kaenda Ubelgiji kapiga mpaka wanamlilia anapoondoka, leo wewe hapa unakalia negative theories za kuwa anaweza kushindwa kama vile wewe unajua uwezo wake na akili yake anapokuwa uwanjani. Wataalamu wa akili za binadamu husema watu wenye negative minds kama wewe pia huwa na negative results katika mambo yao.