Samatta hana kiwango Cha kucheza EPL

kitendo cha bashite kuwa karibu na timu ya taifa ni kama kahamishia gundu lake kwa wachezaji.

nyota ya samatta licha ya kuwa mmoja ya wafungaji bora wa league ya ubelgiji msimu uliopita ni kama imeshafifia.
Bashite amefanya tuichukie stars kwa kweli
 
ni mpuuzi tu captain mzima unahojiwa unaingiza mambo ya siasa kwenye team,wendawazimu hao wa ccm stars na bashite wao hata hizo 3 hazikuwatosha walitakiwa wabebeshwe zigo la mavi
Hahaha
 
Hahahahahahahahah.......Ni mchezaji bora wa Africa anayecheza Belgium Lakini sio top Scorer wa Ligi ya Belgium wewe huoni utofauti hapo unashindwa kutofautisha kati ya Mfugqji bora na Mchezaji bora kweli we jamaa vipi
 
Mbongo kwa ubishi! Samatta ni mchezaji wa kawaida. Huwezi kumweka kwenye lile kundi la wachezaji wa kiwango cha juu! Na ndiyo maana bado yupo Ubelgiji mpaka sasa na hajapata timu kwenye zile nchi zenye ligi ngumu na nzuri
Sijui nisikujibu!!...ila basi ngoja nikujibu..kila ki2 kinakwenda kwa hatua ndugu..kwan mbwana kakaa mazembe muda gan?? Misimu minne mitano hivi...kwan kipindi yupo mazembe ilimaanisha hakuwa na kiwango cha kucheza ulaya?...ni hatua kwa hatua..ni mpaka pale timu ya ulaya ilipomuona ndipo wakamsajili...kwa hiyo hata timu yoyote kubwa yenye mapungufu kwenye ushambuliaji ikimuona ikamkubali itamchukua...kwan si msimu wake wa pili tu huu...na hakuna uhakika kama atabaki Genk msimu ujao....ninyi wabongo cjui mna matatizo gani aisee...chuki za kishamba tu..
 
endelea kusubiri. Chama chajiuza kibaya.... Ana miaka 26 kipindi ambacho yuko kileleni...
 
Hahahahahahahahah.......Ni mchezaji bora wa Africa anayecheza Belgium Lakini sio top Scorer wa Ligi ya Belgium wewe huoni utofauti hapo unashindwa kutofautisha kati ya Mfugqji bora na Mchezaji bora kweli we jamaa
We jamaa huelewi nn..mbona unakaza sana fuvu.....nimekwambia Yale ma-playoff yanatafuta anayecheza uefa na Europa....mzunguko wa mechi za ligi ni 30..
 
We jamaa huelewi nn..mbona unakaza sana fuvu.....nimekwambia Yale ma-playoff yanatafuta anayecheza uefa na Europa....mzunguko wa mechi za ligi ni 30..
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Hahahahahahahahah hahahahahahahahah Ficha ujinga wako hahahahahahahahah
 
Hzo lawama mjomba...huna tofaut na mtoto ambae hajanunuliwa nguo ya skukuu af anaanza liia na kumlaum baba
 
Hahahahahahahahah Again Samatta hajawahi kuwa Top scorer wa Ligi ya Belgium na Aliyekudanganya kuwa zile mechi za Playoff huwa hawahesabu magoli yake ni nani Mkuu
Pita hiviπŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰huelewi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…