Samatta hana kiwango Cha kucheza EPL

Hii chuki dhidi ya Samata inatoka wapi kwan
 
Hivi hiyo EPL unaiona ligi ya maana sana wakati miaka kibao hawajatoa mfungaji bora wa jumla ulaya.
 

Kumbe kuna species nyingine za wanawake!! , emu nifafanulie hiyo current thinking about women

Pia si rahisi kumtawala mwanamke aliyekuzidi kipato, je unajua kinachomfanya mwanaume kuhangaika migodini

mashambani. Safari ndefu na ufisadi ni kutafuta kutimiza majukumu ya wanawake ?

Kama wewe ni me unajisikiaje unaposimamia shoo zote za nyumbani kwako, kwao mke na kwenu? nasikia ni raha kuliko

hata kuvaa nguo au chakula unachokipena kitu tofauti kabisa na Jinsia ke ambapo furaha yako kubwa ni kupokea yaani

ndo ataona anathaminiwa naye ni mtu duniani

Je unajisikiaje unapokoroma kukemea kitu watu wote wanakaa kimya, hivi unajua unaweza kukemea tabia mbovu za

mabinti wako uliowazaa utakuja gundua aliyeko nyuma ya yote ni mke wako anayekuzidi kipato , je unafikiri utashinda

hiyo vita salama au utakaa kimya yapite?

Kwenye maisha ya ndoa kuna vitu vya kidemocrasia na vingine vya kibabe na hutaweza kuviamua unless una nguvu

iliyoko nyuma yako nayo si nyingine bali ni KUMZIDI MAKE KIPATO ama kama hushiki ushauri huu chagua kuwa dhaifu

ambapo maamuzi yako ya msingi kabisa yenye tiba kwa kizazi chako yanaweza kufanyiwa kazi ama la..
 
Samata amefanya mambo makubwa imefika mahali watu wamezoea na wameona kawaida tu
 
Watu embu wakati mwingine muwage siriaz kidogo, yaan mtu anaweza kucheza Genk akatia goli 20+ bado mna mashaka na uwezo wake???
 
Kuna kijana ana 24 anaitwa Aleksandar Mitrović yuko Championship [emoji23][emoji23]. EPL pale kuna watu samatta hawezi hata kufunga kamba za viatu vyao mfano Artunovic ila bado hawana majina bado EPL. Sammata mchezaji mzuri ila siyo star kama tunavyosema nchi yetu watu wanaongea sana. Olunga yule mkenya aletupiga magoli angekuwa Mtanzania watu tungeongea sana ila mkenya so wakawaida.
 
Shida nini vijana tupe sababu kwa nini asicheze EPL??
Gundu la CCM lililo hamishiwa Cairo na Bashite lisiharibu ugali wa Samata!!
 
Mbongo kwa ubishi! Samatta ni mchezaji wa kawaida. Huwezi kumweka kwenye lile kundi la wachezaji wa kiwango cha juu! Na ndiyo maana bado yupo Ubelgiji mpaka sasa na hajapata timu kwenye zile nchi zenye ligi ngumu na nzuri
Kuna ligi ngumu kushinda ya bongo yetu
 
Labda akacheze championship,
Haya mzee; kawaeleze AVFC kama wamefanya makosa.

Najua jamaa wale humtafiti mchezaji kwa kina sana kabla hata ya kumtumia ujumbe tu kuwa tunataka kufanya maongezi; na inapofikia mkataba huwa pia wana wanaangalia kama ni mkataba wenye manufaaa au vipi. Wakiwa na shaka wanakupa mkataba wa miaka miwili, na wakiwa na imani nawe pasipo na shaka ndipo unapata mkataba wa miaka minne. Mbwana kama miaka minne na nusu; je kuna makosa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…