Samatta hana kiwango Cha kucheza EPL

Samatta hana kiwango Cha kucheza EPL

Haya mzee; kawaeleze AVFC kama wamefanya makosa.

Najua jamaa wale humtafiti mchezaji kwa kina sana kabla hata ya kumtumia ujumbe tu kuwa tunataka kufanya maongezi; na inapofikia mkataba huwa pia wana wanaangalia kama ni mkataba wenye manufaaa au vipi. Wakiwa na shaka wanakupa mkataba wa miaka miwili, na wakiwa na imani nawe pasipo na shaka ndipo unapata mkataba wa miaka minne. Mbwana kama miaka minne na nusu; je kuna makosa kweli.
Tusiwe kama waingereza..., kusifia sana na kulaumu kupita kiasi..., huku ni kumuweka mtu under pressure zisizo na maana kuna wengi wamepita kina Nii Lamptey hata huko huko Villa walikuwa na potential au kina Maurice Edu (highly potential) huko states.... Pia na wengine hawakutegemewa kama watafanya chochote kama Dwight Yorke lakini walifanya vizuri kuliko....

Point ni kwamba kufanikiwa sehemu sio kujua kucheza pekee inategemea na mtu atasettle vipi na opportunity atakazopewa na mambo mengi sana unaweza ukawa mtaalamu na usifanikiwe na vice versa cha maana ni ku-enjoy the moment anything can happen and whatever happens sio mwisho wa dunia (haya mambo ya kumwekea mtu pressure zisizo na maana can only end in disappointments)
 
Sikuelewi unachozungumza mzee wangu; nimeshindwa hata kukujibu ila nadhani utaelewa kuwa nimeisoma post yako hiyo.
 
Makosa yanaweza kufanyika hata kwa hizo timu na mara nyingi kufaulu au kutokufaulu kwa mchezaji sio ujuzi tu bali ni vipi amesettle katika timu husika (ndio maana nikamuweka Nii Lamptey) ambao Villa walimchukua na hakufikia prospects au Dwight Yorke ambaye alinunuliwa kwa bahati akawa maarufu..., Kwahio mwisho wa siku kufanikiwa au kutokufanikiwa ni vigezo vingi sana ambavyo ni zaidi ya skills peke yake.., kwahio point ya kwamba hizi timu hazifanyi makosa (zinaweza zikafanya) na hata mtu asipofanikiwa (huenda sababu ikawa sio kiwango chake bali circumstances nyinginezo) All in all akifunga magoli na aki-work hard itakuwa tosha (west midlands people loves people who works hard).....
 
Ulichoandika hakikuwa na uhusiano ni nilichokuwa nimemjibu mwanzisha mada. Halafu vile unachoandika wewe ndiyo ya kuangalia negatives tu; kwa nini usiwe na imani kuwa kaenda Congo kapiga, kaenda Ubelgiji kapiga mpaka wanamlilia anapoondoka, leo wewe hapa unakalia negative theories za kuwa anaweza kushindwa kama vile wewe unajua uwezo wake na akili yake anapokuwa uwanjani. Wataalamu wa akili za binadamu husema watu wenye negative minds kama wewe pia huwa na negative results katika mambo yao.
 
Ulichoandika hakikuwa na uhusiano ni nilichkuwa nimemjibu mwanzisha mada. Halafu vile unachoandika wewe ndiyo ya kuangalia negatives tu. kwa nini usiwe na imani kuwa kaneda Congo kapiga, kaenda Ubelgiji kapiga mpaka wanamlilia anapoondoka, leo wewe hapa unakalia negative theories za kuwa anaweza kushindwa kama vile wewe unajua uwezo wake na akili yake anapokuwa uwanjani. Wataalamu wa akaili za binadamu husema watu wenye negative minds wewe pia huwa na negative results katika mambo yao.
Kwanza kabisa ulichosema hizo timu hazifanyi makosa (ndipo nilipojibu zinafanya)..., kuhusu kufanikiwa au kutokufanikiwa akiwa Villa no one knows (na hata asipofanya vema huenda isiwe makosa yake bali timu inavyomtumia na kumpa opportunities),

Point yangu kubwa ndio maana nikasema tusiwe kama watu wa England kusifu kupita kiasi na kulaumu kupita maelezo..., mpaka hapa alipo ameshafanikiwa ni kuendelea ku-enjoy the ride no matter the outcomes..., huku kutegemea matokeo makubwa tu ni kumuweka mtu under pressure siziso za lazima..,
 
Kwani ni wapi nilipoandika kusifu kupita kiasi na kulaumu kupita maelezo? Na wala sikandika kuwa hawafanyi makosa, nilisema wanamtafiti mchezaji kwa kina sana na kufanya analysis ya return on investment kabla ya kumpa mkataba; siyo kwamba wanazoa mchezaji yeyote tu. Kati ya wachezaji wote walioko kwenye market sasa utafiti wao umeonyesha kuwa anawafaa; tuache kuquestion uwezao wao wa kuendesha timu yao
 
Back
Top Bottom