msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Dunia ya sasa haupewi muda..., you need to hit the ground running...., kushindwa kwa mtu sio lazima kwamba hauna kipaji, ni mambo mengi politics za pale na ku-adapt mazingira pamoja na ku-fit na matazamio ya sehemu husika...Hakuwa na muda mwingi.
Ni ngumu kumuhukumu
Dunia ya sasa haupewi muda..., you need to hit the ground running...., kushindwa kwa mtu sio lazima kwamba hauna kipaji, ni mambo mengi politics za pale na ku-adapt mazingira pamoja na ku-fit na matazamio ya sehemu husika...
Mfano Brazilians wengi kwa kipindi kirefu walikuwa hawafanyi viruzi sana EPL..., sio kwamba hawajui ni pamoja na mazingira na culture (na walifanya vizuri Spain) kutokana na culture za kule na community ya huko they feel at home.....
Jamaa bado umempa Zero ?
In the end it does not matter...., (Stats hazitasema ulikuwa Barcelona hence lazima ufanye vizuri au ulikuwa Reading hence hakuna tatizo)Timu yenyewe ilikuwa mbovu.
Na hakuwa na muda wa kutosha. Kwani kacheza mechi ngapi pale villa?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
In the end it does not matter...., (Stats hazitasema ulikuwa Barcelona hence lazima ufanye vizuri au ulikuwa Reading hence hakuna tatizo)
Maradona alifanya yake akiwa na argentina mediocre..., labda tuseme timu haikujengwa kulingana na strength zake kumzunguka yeye..., ila lazima ujue kama wewe sio Messi, Ronaldo au kina Raul na Owen (wapenzi wa mashabiki) usitegemee utapewa muda au timu kuundwa around wewe..., kwahio lazima upambane na hali yako....
Simba Sc hatumtaki, tunae Chama.Samatta hana muda mrefu ulaya kuanzia sasa..atarudi tu simba kumalizia mpira wake
Nimecheka kama bwege
Daaah ila ww jamaa una roho ngumu, bd tuu unataka kubishana na mtoa mada.?Sikubaliani na wewe hata kidogo,kwanza jiulize samatta amekaa uingereza muda gani?na je toka alipofika aliqeza kupata nafasi ya kuzoeana na wenzie?.Toka alipofika hakufanikiwa kuwa na wachezaji wenzie kwa muda mrefu ikaja corona,kwahiyo hakuweza kufanya kazi na wenzie kwa muda mrefu ili aweze kuuzoea mchezo wa uingereza
Unasema samatta hawezi kujitafutia mwenyewe,hivi unataka kuniambia washambuliaji wote wa uingereza wanajitafutia wenyewe mipira?
Jambo la muhimu hapa,ni kutambua juhudi za samatta na kumuomba huko aendako akapate mafanikio mengi,sio kumzodoa kiasi hicho ulichofanya wewe,wakati wewe huna hata uwezo wa kuchezea timu ya wazee wa uingereza
hajapewa nafasi Kwasababu zinagawiwa bure sio?Watanzania wana vipaji vya uchawi toka wanazaliwa, mtoa mada hakuwa sahihi. Na pia hadi sasa hayupo sahihi, Samatta katoka EPL Kwasababu ya kutopewa nafasi pale. Hajapata muda wa kuzoeana na wenzake kabisa
Dah huu unafiki sasa. Mbona yule dogo mpya aliesajiliwa na kamkuta Samatta pale kashatupia goal tatu mpaka kwa match chache alizocheza?Watanzania wana vipaji vya uchawi toka wanazaliwa, mtoa mada hakuwa sahihi. Na pia hadi sasa hayupo sahihi, Samatta katoka EPL Kwasababu ya kutopewa nafasi pale. Hajapata muda wa kuzoeana na wenzake kabisa
Nina uhakika hakuna unachokijuaWatanzania wana vipaji vya uchawi toka wanazaliwa, mtoa mada hakuwa sahihi. Na pia hadi sasa hayupo sahihi, Samatta katoka EPL Kwasababu ya kutopewa nafasi pale. Hajapata muda wa kuzoeana na wenzake kabisa
Ukweli una tabia ya kuumiza unataka uambiwe Samatta ni level ya Harry Kane ndio ufurahi?Sikubaliani na wewe hata kidogo,kwanza jiulize samatta amekaa uingereza muda gani?na je toka alipofika aliqeza kupata nafasi ya kuzoeana na wenzie?.Toka alipofika hakufanikiwa kuwa na wachezaji wenzie kwa muda mrefu ikaja corona,kwahiyo hakuweza kufanya kazi na wenzie kwa muda mrefu ili aweze kuuzoea mchezo wa uingereza
Unasema samatta hawezi kujitafutia mwenyewe,hivi unataka kuniambia washambuliaji wote wa uingereza wanajitafutia wenyewe mipira?
Jambo la muhimu hapa,ni kutambua juhudi za samatta na kumuomba huko aendako akapate mafanikio mengi,sio kumzodoa kiasi hicho ulichofanya wewe,wakati wewe huna hata uwezo wa kuchezea timu ya wazee wa uingereza
Jamaa kaandika maneno mengi lkn hayana maana. Bado yupo kwenye kundi lile lile la wasiopenda kuambiwa ukweli. Atafanya juu chini kutetea wakati facts zipo wazi.Ukweli una tabia ya kuumiza unataka uambiwe Samatta ni level ya Harry Kane ndio ufurahi?
Kaangalia takwinu za Samatta, juu ya chance alizopewa na ushirikiano aliyopewa na wenzake. Kisha angalia alikosa chance ngapi muhimu kati ya zote, pia alizotumia. Ndiyo utajua walikuwa hawampi ushirikiano wa kutosha. Mshambuliaji aliyepata nafasi kidogo sana ya kuonesha ubora.Dah huu unafiki sasa. Mbona yule dogo mpya aliesajiliwa na kamkuta Samatta pale kashatupia goal tatu mpaka kwa match chache alizocheza?
We nawe poyoyohajapewa nafasi Kwasababu zinagawiwa bure sio?