Samatta hatomaliza misimu miwili ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

Watanzania wana vipaji vya uchawi toka wanazaliwa, mtoa mada hakuwa sahihi. Na pia hadi sasa hayupo sahihi, Samatta katoka EPL Kwasababu ya kutopewa nafasi pale. Hajapata muda wa kuzoeana na wenzake kabisa
 
Hakuwa na muda mwingi.
Ni ngumu kumuhukumu
Dunia ya sasa haupewi muda..., you need to hit the ground running...., kushindwa kwa mtu sio lazima kwamba hauna kipaji, ni mambo mengi politics za pale na ku-adapt mazingira pamoja na ku-fit na matazamio ya sehemu husika...

Mfano Brazilians wengi kwa kipindi kirefu walikuwa hawafanyi viruzi sana EPL..., sio kwamba hawajui ni pamoja na mazingira na culture (na walifanya vizuri Spain) kutokana na culture za kule na community ya huko they feel at home.....

All in all ni yeye na maisha yake..., haya mambo ya kumvika umediocre wa watanzania katika soka kwamba yeye ndio afanye zaidi ili kuziba mapungufu yetu ni kupeana pressure ambazo hazina maana
 
Timu yenyewe ilikuwa mbovu.
Na hakuwa na muda wa kutosha. Kwani kacheza mechi ngapi pale villa?
Dunia ya sasa haupewi muda..., you need to hit the ground running...., kushindwa kwa mtu sio lazima kwamba hauna kipaji, ni mambo mengi politics za pale na ku-adapt mazingira pamoja na ku-fit na matazamio ya sehemu husika...

Mfano Brazilians wengi kwa kipindi kirefu walikuwa hawafanyi viruzi sana EPL..., sio kwamba hawajui ni pamoja na mazingira na culture (na walifanya vizuri Spain) kutokana na culture za kule na community ya huko they feel at home.....

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Timu yenyewe ilikuwa mbovu.
Na hakuwa na muda wa kutosha. Kwani kacheza mechi ngapi pale villa?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
In the end it does not matter...., (Stats hazitasema ulikuwa Barcelona hence lazima ufanye vizuri au ulikuwa Reading hence hakuna tatizo)

Maradona alifanya yake akiwa na argentina mediocre..., labda tuseme timu haikujengwa kulingana na strength zake kumzunguka yeye..., ila lazima ujue kama wewe sio Messi, Ronaldo au kina Raul na Owen (wapenzi wa mashabiki) usitegemee utapewa muda au timu kuundwa around wewe..., kwahio lazima upambane na hali yako....
 
Vila wenyewe wana mawenge.
uwezo wa samata ulikuwa ni mkubwa.sema timu lenyewe lilishapoteana
In the end it does not matter...., (Stats hazitasema ulikuwa Barcelona hence lazima ufanye vizuri au ulikuwa Reading hence hakuna tatizo)

Maradona alifanya yake akiwa na argentina mediocre..., labda tuseme timu haikujengwa kulingana na strength zake kumzunguka yeye..., ila lazima ujue kama wewe sio Messi, Ronaldo au kina Raul na Owen (wapenzi wa mashabiki) usitegemee utapewa muda au timu kuundwa around wewe..., kwahio lazima upambane na hali yako....

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Sikubaliani na wewe hata kidogo,kwanza jiulize samatta amekaa uingereza muda gani?na je toka alipofika aliqeza kupata nafasi ya kuzoeana na wenzie?.Toka alipofika hakufanikiwa kuwa na wachezaji wenzie kwa muda mrefu ikaja corona,kwahiyo hakuweza kufanya kazi na wenzie kwa muda mrefu ili aweze kuuzoea mchezo wa uingereza
Unasema samatta hawezi kujitafutia mwenyewe,hivi unataka kuniambia washambuliaji wote wa uingereza wanajitafutia wenyewe mipira?
Jambo la muhimu hapa,ni kutambua juhudi za samatta na kumuomba huko aendako akapate mafanikio mengi,sio kumzodoa kiasi hicho ulichofanya wewe,wakati wewe huna hata uwezo wa kuchezea timu ya wazee wa uingereza
Daaah ila ww jamaa una roho ngumu, bd tuu unataka kubishana na mtoa mada.?
 
Watanzania wana vipaji vya uchawi toka wanazaliwa, mtoa mada hakuwa sahihi. Na pia hadi sasa hayupo sahihi, Samatta katoka EPL Kwasababu ya kutopewa nafasi pale. Hajapata muda wa kuzoeana na wenzake kabisa
Dah huu unafiki sasa. Mbona yule dogo mpya aliesajiliwa na kamkuta Samatta pale kashatupia goal tatu mpaka kwa match chache alizocheza?
 
Sikubaliani na wewe hata kidogo,kwanza jiulize samatta amekaa uingereza muda gani?na je toka alipofika aliqeza kupata nafasi ya kuzoeana na wenzie?.Toka alipofika hakufanikiwa kuwa na wachezaji wenzie kwa muda mrefu ikaja corona,kwahiyo hakuweza kufanya kazi na wenzie kwa muda mrefu ili aweze kuuzoea mchezo wa uingereza
Unasema samatta hawezi kujitafutia mwenyewe,hivi unataka kuniambia washambuliaji wote wa uingereza wanajitafutia wenyewe mipira?
Jambo la muhimu hapa,ni kutambua juhudi za samatta na kumuomba huko aendako akapate mafanikio mengi,sio kumzodoa kiasi hicho ulichofanya wewe,wakati wewe huna hata uwezo wa kuchezea timu ya wazee wa uingereza
Ukweli una tabia ya kuumiza unataka uambiwe Samatta ni level ya Harry Kane ndio ufurahi?
 
Dah huu unafiki sasa. Mbona yule dogo mpya aliesajiliwa na kamkuta Samatta pale kashatupia goal tatu mpaka kwa match chache alizocheza?
Kaangalia takwinu za Samatta, juu ya chance alizopewa na ushirikiano aliyopewa na wenzake. Kisha angalia alikosa chance ngapi muhimu kati ya zote, pia alizotumia. Ndiyo utajua walikuwa hawampi ushirikiano wa kutosha. Mshambuliaji aliyepata nafasi kidogo sana ya kuonesha ubora.
 
Back
Top Bottom