Samatta hii sasa sifa

Samatta hii sasa sifa

Sasa hivi wanahangaika kwenye mitandao kwamba daraja la kigamboni liko kwao kenya,,, so Samagoal watasema ni Mkeii
Nafikiri wanawachezaji wengi zaidi wanaocheza ligi kubwa ulaya kuliko sisi.Sisi ni mmoja tu ila wao wana 4 kama sikosei wanaocheza Engand,Italy
 
Teamanaconda said:
Alafu nashangaa siku hizi clouds kwenye kipnd cha sport bar hawaonyeshi kabsa habari za samatta

Hawaezi kwani wanapenda sifa wale. Wanataman ingekua wao ndio wameibua kipaji chake
 
Aongeze bidiii ya kutikisa nyavu zaidi,huko hapendwi mtu ni mabao tu.
 
Kijana anaipaisha bongo vibaya mnooo! Nadhani atakuwa anagoli kama 8 kwa just 2months

Safi sana, piga kazi Samamagoli
Amecheza dakika 282 na ana goli 4. Sawa na wastani wa goli moja ktk kila dk 70.
Katika kipindi hicho ameanza kwny kikos cha kwanza mara 2 na ametokea bench mara 6. Ana kadi moja ya njano hana nyekundu. Sema lingine upewe kuhusu samata.
 
Kwa wastani huo wa dk na magoli, kuanza game au kuingia kipindi cha pili, vina maanisha nini Kimchezo , je yupo vizuri, average or bado sana?
 
Huyu kijana ana urafiki sana na nyavu za goli pinzani....
Anatutangaza vyema sana, sema wazungu hawachelewi kumpa uraia.
 
SAMATTAAAZ.jpg
 
Back
Top Bottom