Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri wanawachezaji wengi zaidi wanaocheza ligi kubwa ulaya kuliko sisi.Sisi ni mmoja tu ila wao wana 4 kama sikosei wanaocheza Engand,ItalySasa hivi wanahangaika kwenye mitandao kwamba daraja la kigamboni liko kwao kenya,,, so Samagoal watasema ni Mkeii
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji115] [emoji115]Wakenya hawachelewi kusema ni Mkenya
Kweli mkuu au unanogesha Uzi?Man U, Chelsea na Arsenal wametuma scouts wao kumfuatilia huyu jamaa[emoji85] !!
Ananogesha uzi tuKweli mkuu au unanogesha Uzi?
Teamanaconda said:Alafu nashangaa siku hizi clouds kwenye kipnd cha sport bar hawaonyeshi kabsa habari za samatta
Amecheza dakika 282 na ana goli 4. Sawa na wastani wa goli moja ktk kila dk 70.Kijana anaipaisha bongo vibaya mnooo! Nadhani atakuwa anagoli kama 8 kwa just 2months
Safi sana, piga kazi Samamagoli
Kwa wastani huo wa dk na magoli, kuanza game au kuingia kipindi cha pili, vina maanisha nini Kimchezo , je yupo vizuri, average or bado sana?Amecheza dakika 282 na ana goli 4. Sawa na wastani wa goli moja ktk kila dk 70.
Katika kipindi hicho ameanza kwny kikos cha kwanza mara 2 na ametokea bench mara 6. Ana kadi moja ya njano hana nyekundu. Sema lingine upewe kuhusu samata.
We jamaa!!Man U, Chelsea na Arsenal wametuma scouts wao kumfuatilia huyu jamaa[emoji85] !!
Ila mkuu mwanzo mbona walikuwa wanaonyesha?mi nahisi kuna tatizo sehemHawaezi kwani wanapenda sifa wale. Wanataman ingekua wao ndio wameibua kipaji chake
Sasa hivi wanahangaika kwenye mitandao kwamba daraja la kigamboni liko kwao kenya,,, so Samagoal watasema ni Mkeii