Samatta kuonekana UEFA au Ligi Kuu ya England. BIG up jembe la Tanzania

Samatta kuonekana UEFA au Ligi Kuu ya England. BIG up jembe la Tanzania

Wasenegal hawakurupukiagi EPL mzee wanaanza ligi kama League 1 ligi ya Urusi, ligi ya italia, uturuki n.k

Na EPL wapo wachache ila ni wanakipiga hasa. Samatta timu aliyocheza ulaya ni moja tu tunamkuza sana Victor wanyama ka_hustle kacheza klabu zaidi ya tatu mpaka kufika Tottenham
Alienda Spurs akiwa na umri gani?

Kwahiyo Messi hafiti huko kwasababu kacheza klabu moja tu Ulaya?
 
Huu ndio ukweli nishabishana sana na watu mtaani jamaa akitaka tumpoteze kwenye soka aende epl aiseeeee......atapata frustration kama alizopata torres pale chelsea mpaka yeye na goli anapiga nje.......akimbilie france kwanza
Samatta ni bora abaki Genk kuliko kwenda EFL ama EPL akacheze timu itakayoshuka daraja.

Samatta hana kiwango cha kupata namba kwa uhakika EPL ligi ile ni ya nguvu sana na maarifa, Jupiter league ni mdebwedo sana sibezi mafanikio yake ila ndio ukweli mara elfu 10 abaki Genk akacheze UEFA kuliko kwenda Swansea au stoke city kwa sasa asubiri awe mtambo mkubwa.

Alicheza EUROPA na vitimu vya ajabu ajabu akafunga sanaa alipokutana na Fernebahce ndipo akauona mpira wa ulaya ulivyo mara slavia Prague HAHAHAA Samatta ndugu yangu komaa na Genk
 
Ndidi
Mkuu kubaliana nami Samatta akienda EPL atacheza mechi 5 alafu atakaa nje msimu mzima eidha kwa majeraha au kwa kupata mbadala (akienda msimu ujao)

Genk haina wachezaji wazuri wanaotesa ligi zingine wanaozidi wanne wana Thiba cotwaa (jina lake la mwisho kama nimekosea kuliandika niwie radhi) na mmoja EPL nimemsahau jina.

Samatta EPL hapawezi mnampa kichwa kikubwa atapasuka angalau aende Scotland akapate ujuzi wenzake wengi wa Africa huanzia huko au hata ufaransa ENGLAND watamsajili EFL washenzi wale alafu timu ishuke daraja na huko EFL unategemea atakuwa wapi? Genk ni better
 
Epl kashindwa kuadopt nolito diego costa jitu la miraba minne kuna yule muafrika alikipiga stoke city now yupo psg.....hao ni wachache tu angalia uwezo wao uwanjani wamemuacha mbali sana samatta na bado wakachemsha hapo sijamuweka falcao
Nani alitarajia Samatta angekuwa tegemeo alipoenda TP Mazembe?! Tena alienda kule akiwa kijana mdogo sana lakini alichofanya kule, haina haja ya kukirudia!

Kaenda Belgium, pia nani alitarajia angekuwa angekuwa ni moja ya wachezaji tegemeo pale Genk? Nakumbuka mwaka jana sijui alikuwa na injury vile; ikawa performance yake haikuwa mzuri kama msimu uliotangulia na watu wakasema jamaa keshaisha! Aliporudi uwanjani, ndo huyo tena! Mashabiki wa Genk hawatamani aondoke!

Sio hivyo tu, hata alipotoka African Lyon kwenda Simba! Pale alifika huku uongozi wa Simba ukimchukulia kama mchezaji anayepasa kuchukua uzoefu kwanza kutokana na udogo wake na pale aliwakuta "vingunge"! Yaliyobaki ni history!

So, ni kweli EPL ni very tough lakini am sure ata-adapt tu!
 
Afrika ina soka gumu kuliko epl
Write your reply...
nikisoma repry za watu humu napata ukakasi,hasira sana
samatta abaki genk kufanya nini? na umri unaenda?
pale epl atatakiwa kuwa misimu miwili au mitatu kuonesha ubora wake, sasa genk akibaki umri je? na tunajua waafrika kwa kudanganya miaka tulivyo!.
genk ni chuo pale sitaki kuwataja waliocheza pale sote tunawajua!
halafu kwanza ma striker aina ya samatta wanatakiwa na klabu nyingi za epl, pia samagoal ana kichwa cha kuelewa mfumo haraka mno. sasa kama kacheza soka gumu la hapa africa ambalo wanakaba man to man , why ashindwe kucheza soka la epl wanalokaba njia tuu mara nying? anajua kujiposition kitu ambacho hata gonzalo higuain kinamshinda! why ashindwe?
muda ni jaji mzuri sana tusubiri kama akienda tuone kama mashangingi ya soka hayajakimbia humu!.
halafu nani kasema kucheza europa ni kazi rahisi?
kule unakutana na team ambazo wachezaji wake wanatafuta majina so wanacheza kwa spirit na moyo!
man u,athletico madrid,walipochukua europa hamkusema wanafunga vi timu vidogo?
 
Waambie hao diouf katoka united kwenda stoke kilichomkuta huko eti leo ni winga badala ya fowadi
Timu nyingi za EPL hasa hizi za Mid table team like West ham ,,Newcastle, Burnley, Everton hawana tabia ya kumsubiri mchezaji aje kuadapt system ya mpira wa EPL hawa wanasajili mchezaji kwa malengo yao ukishindwa hawana muda wa kukusubiri ni benchi baada ya hapo unawekwa sokoni.
 
Epl kashindwa kuadopt nolito diego costa jitu la miraba minne kuna yule muafrika alikipiga stoke city now yupo psg.....hao ni wachache tu angalia uwezo wao uwanjani wamemuacha mbali sana samatta na bado wakachemsha hapo sijamuweka falcao
Kwahiyo kwavile hao walishindwa ku-adapt ndo basi tena Samatta na yeye LAZIMA atashindwa tu?! Hii notion mnaipata wapi?! Kwani pale Simba Samatta ndo alikuwa mchezaji bora kuliko wengine?! Wao waliokuwa wanamzidi wapo wapi?! Man, soka haina cha kwamba eti walikuwa wakali sana uwanjani bali pamoja na uwezo wako, suala la kujituma na kuweka bidii kwenye soka ni jambo muhimu sana! Wapo wachezaji ambao walifanya vizuri sana kwenye ligi kubwa za Ulaya kuliko wanaofanya vizuri hivi sasa lakini soka lao liliisha mapema kutokana na kukosa bidii, nidhamu na kujituma!! Hata tukimchukua yule Samatta aliyekuwa anacheza Ligi Kuu Tanzania; ni Watanzania wangapi walikuwa wana kiwango kuliko cha kwake lakini hawakufika popote?!! Na kwa wachezaji wa Kitanzania walivyo, Samatta ile kufika TP Mazembe tu tayari ange-relax hasa ukizingatia kwa wakati ule hakukuwa na wachezaji wengi wanaocheza nje! Pamoja na hayo, Samatta haku-relax!
 
Mmekomaa Kumtetea Kujenga Msikiti Kwenye Mjengo, Ilikuwa Na Maana Gani Kutangaziwa Kajenga Masjid? Zile Jezi Nzuri Kubuniwa Vile Povu Liliwatoka Na Kutaka Wachezaji Wa Imani Yake Wasivae. Msitutangazie Wanayofanya Kutukuza Imani Zao Ni Faragha Zao Wengine Hazituhusu
Umeambiwa umfatilie mambo yake au urongo tu mkuu... Au kuna mimba aliikataa hapo kwenu?
Fata sheria DNA ipo
 
Waambie hao diouf katoka united kwenda stoke kilichomkuta huko eti leo ni winga badala ya fowadi
Mkuu nikishindwa mimi maana yake na wewe utashindwa?.. NDIDI mbona anacheza.. ok
Kisa ni mtanzania au.. Mbona amleti mifano ya walioweza kucheza epl kutoka ligi tofauti AU HAWAPO?
 
Umeambiwa umfatilie mambo yake au urongo tu mkuu... Au kuna mimba aliikataa hapo kwenu?
Fata sheria DNA ipo
Kujenga msikiti staa huyo si hadhi yake ni aibu, bora angefanya kitu cha kunufaisha wengi si wa imani yake pekee, hakuna sababu kutangaziwa staa kutukuza imani yake katikati ya wenye imani tofauti. Imani yake haina haja ya kujua anaamini nini, atajua yeye na mungu wake. Kila staa akitangazwa anachoamini wengine tutawaogopa kwa wanachoamini
 
Huu ndio ukweli nishabishana sana na watu mtaani jamaa akitaka tumpoteze kwenye soka aende epl aiseeeee......atapata frustration kama alizopata torres pale chelsea mpaka yeye na goli anapiga nje.......akimbilie france kwanza
Torres wa chelsea?.. wa Liverpool mbona unamkwepa?
Hivi wanaocheza hapo epl wote wametoka ligi moja au timu moja?.. Au wana mizimu kwenye damu?
 
Kujenga msikiti staa huyo si hadhi yake ni aibu, bora angefanya kitu cha kunufaisha wengi si wa imani yake pekee, hakuna sababu kutangaziwa staa kutukuza imani yake katikati ya wenye imani tofauti. Imani yake haina haja ya kujua anaamini nini, atajua yeye na mungu wake. Kila staa akitangazwa anachoamini wengine tutawaogopa kwa wanachoamini
Nenda kabomoe...
 
Ni kweli jamaa ana akili... we ni mjinga hujui mada inaongelea nini umekomaa tu.
We ni mtoto hadi ustuliwe konzi ya kichwa?
Yaliyomo Yamo Hapa Ndiyo Pa Kusemea, We Umekazana Na Matusi Tu, Mada inaeleweka umeacha kujibu unakimbilia kutokwa povu tu, shaurini mastaa wenye hela zao wajenge vitu vya maana kwa wote
 
Back
Top Bottom