Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,609
Mkuu usikurupuke sijasema hana uwezo wa kucheza EPL ila hana uzoefu mkubwa wa kumfanya akang'ae ile ligi ataenda timu za daraja la kati na pengine atakayoenda ikashuka daraja unategemea nini?Kwa hiyo unataka kutuambia wewe una akili kupita hao maskauti wa timu za Epl walimuona atafiti kwenye ligi?!
Anatakiwa abaki Genk angalau kwa msimu mmoja aonyeshe maajabu tena