Samatta kuonekana UEFA au Ligi Kuu ya England. BIG up jembe la Tanzania

Samatta kuonekana UEFA au Ligi Kuu ya England. BIG up jembe la Tanzania

Unawadharau slavia Prague waliomtoa sevilla?hao fernebahce wanamtaka hata leo fatilia. But sio wazuri kwa sasa kwa mtu mwenye ndoto kuichezea.
Samatta ni bora abaki Genk kuliko kwenda EFL ama EPL akacheze timu itakayoshuka daraja.

Samatta hana kiwango cha kupata namba kwa uhakika EPL ligi ile ni ya nguvu sana na maarifa, Jupiter league ni mdebwedo sana sibezi mafanikio yake ila ndio ukweli mara elfu 10 abaki Genk akacheze UEFA kuliko kwenda Swansea au stoke city kwa sasa asubiri awe mtambo mkubwa.

Alicheza EUROPA na vitimu vya ajabu ajabu akafunga sanaa alipokutana na Fernebahce ndipo akauona mpira wa ulaya ulivyo mara slavia Prague HAHAHAA Samatta ndugu yangu komaa na Genk
 
Unawadharau slavia Prague waliomtoa sevilla?hao fernebahce wanamtaka hata leo fatilia. But sio wazuri kwa sasa kwa mtu mwenye ndoto kuichezea.
Hapana Mkuu Slavia Prague hakuwafynga bao hata moja, nimeonyesha jinsi gani samatta hajakomaa alivyokutana nao aliwashindwa wakadroo nyumbani kwao alafu walivyo Mbwa wakaenda kumgonga Genk nyumbani kwao goli nne
 
Za Kupinga Udiniudini Mpaka Kwa Masupastaa Wetu

Bwege wewe

Unadhan ukiwa star maana yake uishi kipagani?

Angepiga picha kakumbatia Malaya ndio kuishi bila ya udini?

Mpira ni kazi kama wewe ya kuuza Mitumba lakin kuna Maisha binafsi lazima awe nayo

Kama umekerwa na picha yake akiwa Umra achana nae kawafuate kina Mrisho ngasa na videoclip zao chafu chafu
 
Akili za hovyo hovyo!
Akina Kanu waliishia kujenga taasisi ya kutibu magonjwa ya moyo yeye anajenga msikiti kana kwamba nchi watu wote wataenda kusali pale. Mafanikio yake alenge kunufaisha wengi, msikiti ni kitu gani kwa nchi isiyofuata na kuongozwa kwa misingi ya imani hiyo? Bora angejenga kituo cha kukuza na kuendeleza mchezo wa soka kwa chipukizi. Yeye ni mwanasoka mambo ya kujenga msikiti angewaachia masheikh wajenge hata kama yeye ni mfadhili. Inapendeza zaidi kujenga miradi ya kitaifa siyo nyumba ya ibada. Kama anampenda mungu wake na anataka kumtolea sadaka ipo misikiti akatoe huko
 
Taasisi ya Magonjwa ya Moyo itajengwa kwa kodi yako usipende Mtelemko mtoto wa Kiume wewe

Anajenga anachotaka kwa kuwa ni matokeo ya jitihada zake na wewe fanya jitihada za Kazi unayofanya upate pesa ukajenge unachotaka

Uhayawani ni kutaka kupanga matumizi ya Pesa ya Mwanaume mwenzio, shauri yako wataku ‘nabii Tito ‘
 
Anaweza enda akaucheza lakini. Ila mimi mwenyewe naona angebaki genk. Kuna wachezaji wengi sana england wanasugua. Mpaka uwe mfayiliaji sana wa mpira ndio unaweza kuwajua.
Mtu kama bachuayi, niasse, kone, ni wazuri tu na wamechemsha.

Harafu ukkshachemsha pale hata soko lako linashuka.
Hapana Mkuu Slavia Prague hakuwafynga bao hata moja, nimeonyesha jinsi gani samatta hajakomaa alivyokutana nao aliwashindwa wakadroo nyumbani kwao alafu walivyo Mbwa wakaenda kumgonga Genk nyumbani kwao goli nne
 
Naungana na wewe mkuu, eti wanasema uingereza hapawezi utafikiri wachezaji wanaocheza uingereza wanatoka sayari mbali huko.
Wakati asilimia kubwa wachezaji wa timu za Uingereza timu zinasaka pande zote za dunia...
Wakati mwingine hata wachezaji wakubwa huchemsha epl na wachezaji wa kawaida wanaonyesha viwango wa kutisha.
Tatizo wabongo tunajidharau sana, lakini Samata kwa alipofikia sio viwango vyetu kabisa.
Mimi namwombea tu afanikiwe epl akigunga magoli hata kumi tu saba tu kwa msimu wa kwanza ni mafanikio makubwa sana kwake.
waafrica tuna hali ya wivu flani hivi mkuu,
inabidi tujitambue sasa, mane wakati anasajiliwa liverpool akitokea southampton,watu walsema uwezo wake ni mdogo! mara ataenda kupotea! sijui nini!
sasa anawajibu kwa vitendo
kwanza asilimia kubwa ya wachezaj epl wameshatumika lig nyingne ndo wanawachukua !
halafu ligi ile wanaitukuza sana eti ooh matumizi ya nguvu!
pep ndo maana anawanyoosha sana,je anatumia nguvu? tujitambue
 
Hahaha naona umetema cheche nondo za ukweli mtupu. Ligi ya EPL mwenywe sidhani kama ataiweza kama shevchenko aliishindwa 🤣🤣. Ila sijambeza natambua uwezo wake ni mkubwa sana watanzania tunajivunia kua na yeye.
Ataiweza tu! Acheni hizo shaka zenu kwani huko wanaocheza EPL si binadamu na mpira ni huo huo.
 
Uhayawani ni kutaka kupanga matumizi ya Pesa ya Mwanaume mwenzio, shauri yako wataku ‘nabii Tito ‘
Teh teh teh! Umenivunja mbavu 😀😀😀😀 teh teh teh!
 
Ushabiki Wa Kidini Uende Sambamba Na Michezo? Hiyo Haitakuwa Michezo Bali Dini Kujiingiza Na Kutawala Michezo. Bora Siasa Itawale Michezo Kuliko Dini, ndiyo maana kuna wizara ya michezo na inaongozwa na waziri wa michezo ambaye ni mwanasiasa, si padri, mchungaji wala sheikh. Michezo inaunganisha watu wa imani zote. Hivyo basi wanamichezo wanapaswa kuanzisha huduma za watu wote ili waendelee kunufaika kwa mafanikio yake bila ubaguzi wa kidini. Yule mchezaji ni wa wote siyo wa dini yake pekee, afanye vitu vya kunufaisha wengi. Hachezi Kwa Ajili Ya Imani Yake, Anacheza Kama Pia Kwa Ajili Ya sifa kwa taifa lake.Taifa lake halina dini
Mpira acheze yeye wewe umpangie matumizi akili za kimaskini hizi.Mwache afanye anavyotaka kaka nawewe kacheze mpira uujenge hayo mashule makanisa mahospitali. mbona unawashwa hivyo au wahitaji samagoal akukune?!
 
Ana Mashabiki Wengi Nchini, Ila Kwa Kujenga Msikiti Ndani Ya Jumba Lake Ni Udini Mtupu, Bora Ajenge Jumba Jingine Na Ndani Yake Aweke Kanisa Itapendeza Sana Kwa Mashabiki Wake Wasio Waislam
Ulitaka ajenge chapel kwani yeye Kafiri?
 
Mpira acheze yeye wewe umpangie matumizi akili za kimaskini hizi.Mwache afanye anavyotaka kaka nawewe kacheze mpira uujenge hayo mashule makanisa mahospitali. mbona unawashwa hivyo au wahitaji samagoal akukune?!
Pambaf
 
Kujenga Msikiti Si Ishu Ya Kutangazwa Ni Imani Yake Na Mungu Wake. Si Jambo La Maana Kujua Imani Za Mastaa Tunaowashabikia Wengine Wana Imani Tusizoziamini Na Kuziabudu.
 
Ana Mashabiki Wengi Nchini, Ila Kwa Kujenga Msikiti Ndani Ya Jumba Lake Ni Udini Mtupu, Bora Ajenge Jumba Jingine Na Ndani Yake Aweke Kanisa Itapendeza Sana Kwa Mashabiki Wake Wasio Waislam
wewe ndie mdini tena una imani kali angalia usijiripue kwa nyumba za ibada
 
Back
Top Bottom