Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 312
Hizo bahati na hamasa tangu 1979 zilikuwa wapi?
Kongole Dr Magufuli
Unasikitisha sana. Ukitaka kujua ukweli wa hili subiri uone huko AFCON kama hatutaaibika halafu mje mumsifie tena huyo jiwe wenu.