Samatta kuonekana UEFA au Ligi Kuu ya England. BIG up jembe la Tanzania

Samatta kuonekana UEFA au Ligi Kuu ya England. BIG up jembe la Tanzania

Samatta ni bora abaki Genk kuliko kwenda EFL ama EPL akacheze timu itakayoshuka daraja.

Samatta hana kiwango cha kupata namba kwa uhakika EPL ligi ile ni ya nguvu sana na maarifa, Jupiter league ni mdebwedo sana sibezi mafanikio yake ila ndio ukweli mara elfu 10 abaki Genk akacheze UEFA kuliko kwenda Swansea au stoke city kwa sasa asubiri awe mtambo mkubwa.

Alicheza EUROPA na vitimu vya ajabu ajabu akafunga sanaa alipokutana na Fernebahce ndipo akauona mpira wa ulaya ulivyo mara slavia Prague HAHAHAA Samatta ndugu yangu komaa na Genk
Nilichoona kwa Samata ni mtu wa kuadapt na kila anapoenda anaibuka kuwa star wa team, Genk inatoa wachezaji wengi wazuri wanaokwenda kutesa Ujeruman, Epl, na Serie A.. Kuna akina Trosard pale Genk ila kaibuka mbele yao..

Anaweza kucheza vizuri sana hata EPL na kufunga zaidi ya goli 10.
 
Alivyowatungua Besiktas goli mbili hilo haukuliona?au Besiktas ni timu mdebwedo kuliko Fernebahce?
Pia hiyo mechi na Fernebahce ilichezwa lini na wapi?
Besiktas ni mdebwedo kuliko Fenerbahce japo kwa msimu huu imeyumba.

Mechi ilikuwa 1st season yake alipojiunga na Genk
 
Nilichoona kwa Samata ni mtu wa kuadapt na kila anapoenda anaibuka kuwa star wa team, Genk inatoa wachezaji wengi wazuri wanaokwenda kutesa Ujeruman, Epl, na Serie A.. Kuna akina Trosard pale Genk ila kaibuka mbele yao..
Anaweza kucheza vizuri sana hata EPL na kufunga zaidi ya goli 10.
Mkuu kubaliana nami Samatta akienda EPL atacheza mechi 5 alafu atakaa nje msimu mzima eidha kwa majeraha au kwa kupata mbadala (akienda msimu ujao)

Genk haina wachezaji wazuri wanaotesa ligi zingine wanaozidi wanne wana Thiba cotwaa (jina lake la mwisho kama nimekosea kuliandika niwie radhi) na mmoja EPL nimemsahau jina.

Samatta EPL hapawezi mnampa kichwa kikubwa atapasuka angalau aende Scotland akapate ujuzi wenzake wengi wa Africa huanzia huko au hata ufaransa ENGLAND watamsajili EFL washenzi wale alafu timu ishuke daraja na huko EFL unategemea atakuwa wapi? Genk ni better
 
Kwa kweli naungana na wewe.
Ni vema kwanza asalie Genk hata kwa msimu mmoja ujao.

Btw yeye na washauri wake ndio wana maamuzi
Samatta ni bora abaki Genk kuliko kwenda EFL ama EPL akacheze timu itakayoshuka daraja.

Samatta hana kiwango cha kupata namba kwa uhakika EPL ligi ile ni ya nguvu sana na maarifa, Jupiter league ni mdebwedo sana sibezi mafanikio yake ila ndio ukweli mara elfu 10 abaki Genk akacheze UEFA kuliko kwenda Swansea au stoke city kwa sasa asubiri awe mtambo mkubwa.

Alicheza EUROPA na vitimu vya ajabu ajabu akafunga sanaa alipokutana na Fernebahce ndipo akauona mpira wa ulaya ulivyo mara slavia Prague HAHAHAA Samatta ndugu yangu komaa na Genk
 
mi nashauri arudi Simba ipo vyema kwa sasa atatia hamasa ligi yetu na kuibua vipaji vipya
 
Haipendezi Mtu Mwenye Mashabiki Wengi Kama Yule Kujenga Nyumba Ya Ibada Nyumbani Kwake, Bora Angewajengea Wengine. Ni Mdini, Haifai Kuonesha Kuipenda Dini Yake Ki Vile. Ikitokea Staa Mwenye Imani Ya Kikristo Naye Akajenga Kanisa Ndani Ya Mjengo Wake Atashangaza Wengi, Na Hiyo Haitakuwa Imani Sahihi. Mastaa Wenye Hela Nyingi Kama Wanataka Kujenga Nyumba Za Ibada Ni Bora Wakawajengee Wengine, Tena Wa Imani Zote Kama Wanavyofanya Wanasiasa Wanapotoa Misaada Kwa Wapiga Kura Wao Wa Imani Zote
 
Ana Mashabiki Wengi Nchini, Ila Kwa Kujenga Msikiti Ndani Ya Jumba Lake Ni Udini Mtupu, Bora Ajenge Jumba Jingine Na Ndani Yake Aweke Kanisa Itapendeza Sana Kwa Mashabiki Wake Wasio Waislam
We ndo mdini! Yaani nyumba ya kwake mwenyewe aliyoipata kwa jasho lake halafu umpangie cha kufanya! We wa wapi wewe?! Basi watu aina yenu unaweza kukuta unachukia mafanikio yake kwa sababu sio mtu wa dini yako! Aibu sana hii!
 
Haipendezi Mtu Mwenye Mashabiki Wengi Kama Yule Kujenga Nyumba Ya Ibada Nyumbani Kwake, Bora Angewajengea Wengine. Ni Mdini, Haifai Kuonesha Kuipenda Dini Yake Ki Vile. Ikitokea Staa Mwenye Imani Ya Kikristo Naye Akajenga Kanisa Ndani Ya Mjengo Wake Atashangaza Wengi, Na Hiyo Haitakuwa Imani Sahihi. Mastaa Wenye Hela Nyingi Kama Wanataka Kujenga Nyumba Za Ibada Ni Bora Wakawajengee Wengine, Tena Wa Imani Zote Kama Wanavyofanya Wanasiasa Wanapotoa Misaada Kwa Wapiga Kura Wao Wa Imani Zote
We jamaa lofa kweli! Yaani aache kuonesha mapenzi kwa dini yake kisa ana mashabiki wa dini tofauti? Au unadhani mashabiki wote ni kama wewe ambae kuna kila dalili unashabikia mtu kutokana na imani yake! Halafu ulivyo lofa zaidi; unasisitiza "kwenye mjengo wake!" Sasa hivi huoni hiyo ni mali binafsi? Acha udini mbwiga wewe
 
Samatta ni bora abaki Genk kuliko kwenda EFL ama EPL akacheze timu itakayoshuka daraja.

Samatta hana kiwango cha kupata namba kwa uhakika EPL ligi ile ni ya nguvu sana na maarifa, Jupiter league ni mdebwedo sana sibezi mafanikio yake ila ndio ukweli mara elfu 10 abaki Genk akacheze UEFA kuliko kwenda Swansea au stoke city kwa sasa asubiri awe mtambo mkubwa.

Alicheza EUROPA na vitimu vya ajabu ajabu akafunga sanaa alipokutana na Fernebahce ndipo akauona mpira wa ulaya ulivyo mara slavia Prague HAHAHAA Samatta ndugu yangu komaa na Genk
Nani alitarajia Samatta angekuwa tegemeo alipoenda TP Mazembe?! Tena alienda kule akiwa kijana mdogo sana lakini alichofanya kule, haina haja ya kukirudia!

Kaenda Belgium, pia nani alitarajia angekuwa angekuwa ni moja ya wachezaji tegemeo pale Genk? Nakumbuka mwaka jana sijui alikuwa na injury vile; ikawa performance yake haikuwa mzuri kama msimu uliotangulia na watu wakasema jamaa keshaisha! Aliporudi uwanjani, ndo huyo tena! Mashabiki wa Genk hawatamani aondoke!

Sio hivyo tu, hata alipotoka African Lyon kwenda Simba! Pale alifika huku uongozi wa Simba ukimchukulia kama mchezaji anayepasa kuchukua uzoefu kwanza kutokana na udogo wake na pale aliwakuta "vingunge"! Yaliyobaki ni history!

So, ni kweli EPL ni very tough lakini am sure ata-adapt tu!
 
Alicheza EUROPA na vitimu vya ajabu ajabu akafunga sanaa alipokutana na Fernebahce ndipo akauona mpira wa ulaya ulivyo mara slavia Prague HAHAHAA Samatta ndugu yangu komaa na Genk

Besiktas ni mdebwedo kuliko Fenerbahce japo kwa msimu huu imeyumba.

Mechi ilikuwa 1st season yake alipojiunga na Genk
Kwanza kabisa maelezo yako yanajichanganya na unaandika tu bila research yoyote.

Genk na Fenerbahce mara ya mwisho wamekutana January 2013 kipindi hicho Sammata yupo TP Mazembe na mechi iliisha kwa draw ya goli moja moja.

Besiktas ni timu kubwa na wapo kwenye form nzuri msimu huu lakini ni kati ya timu ambazo Samatta kazifunga goli mbili katika uwanja wao wakiwa na wachezaji nyota na wazoefu kabisa kina Babel,Quaresma,Gary Medel,Vagner Love,Pepe na wengineo.

Give the boy the respect he deserves bhana.

Hao kina De Bruyne usingedhani kama wangeweza himili soka la Uingereza wakati akiwa Genk,lakini unaona kinachotokea.

Soka la mabavu na miguvu mingi linapotea kwa kasi sana Uingereza.
 
We jamaa lofa kweli! Yaani aache kuonesha mapenzi kwa dini yake kisa ana mashabiki wa dini tofauti? Au unadhani mashabiki wote ni kama wewe ambae kuna kila dalili unashabikia mtu kutokana na imani yake! Halafu ulivyo lofa zaidi; unasisitiza "kwenye mjengo wake!" Sasa hivi huoni hiyo ni mali binafsi? Acha udini mbwiga wewe
Povu la nini? Yule ni public figure na wengi wana admire mafanikio yake. Lini amekuwa sheikh kujenga msikiti ndani kwake? Bora angejenga shule au hospitali ili wengi wanufaike na mafanikio yake, hata serikali ingempongeza na kumuunga mkono kwa kufaidika naye kihuduma za elimu au afya
 
Juzikati hapa kulionekana jezi mfano wa jezi za taifa stars baadhi ya watu wakatokwa povu jingi wakipinga ubunifu wa jezi hiyo kuwa na mchoro kama msalaba mbele, wengine wakalalamika na kushauri wachezaji wasioamini msalaba wasivae. Sasa inakuaje staa mkubwa kama huyu kujinasibisha na imani yake katikati ya wasioamini imani yake hiyo? Bora angefanya vitu neutral anufaishe hata wasiokuwa wa imani yake. Wengi wanamshabikia na wanamfuatilia uwanjana anapocheza popote duniani
 
Ana Mashabiki Wengi Nchini, Ila Kwa Kujenga Msikiti Ndani Ya Jumba Lake Ni Udini Mtupu, Bora Ajenge Jumba Jingine Na Ndani Yake Aweke Kanisa Itapendeza Sana Kwa Mashabiki Wake Wasio Waislam

Kwani lazima umshabikie, yaani ukiwa kafir unajawa na chuki duh
 
Katika Nchi ambayo haiongozwi na mifumo ya kidini si vyema watu maarufu kuonesha imani zao za kidini kama hivi alivyofanya huyu mchezaji. Si vibaya mtu kuwa na faragha ya kufanyia ibada ya imani yake afanye tu, ila isiwe hadharani itapunguza exposure kuonekana kwa mashabiki wa imani tofauti. Huo Msikiti angeujenga baada ya kustaafu soka kama shukrani kwa mungu wa imani yake
 
Write your reply...
nikisoma repry za watu humu napata ukakasi,hasira sana
samatta abaki genk kufanya nini? na umri unaenda?
pale epl atatakiwa kuwa misimu miwili au mitatu kuonesha ubora wake, sasa genk akibaki umri je? na tunajua waafrika kwa kudanganya miaka tulivyo!.
genk ni chuo pale sitaki kuwataja waliocheza pale sote tunawajua!
halafu kwanza ma striker aina ya samatta wanatakiwa na klabu nyingi za epl, pia samagoal ana kichwa cha kuelewa mfumo haraka mno. sasa kama kacheza soka gumu la hapa africa ambalo wanakaba man to man , why ashindwe kucheza soka la epl wanalokaba njia tuu mara nying? anajua kujiposition kitu ambacho hata gonzalo higuain kinamshinda! why ashindwe?
muda ni jaji mzuri sana tusubiri kama akienda tuone kama mashangingi ya soka hayajakimbia humu!.
halafu nani kasema kucheza europa ni kazi rahisi?
kule unakutana na team ambazo wachezaji wake wanatafuta majina so wanacheza kwa spirit na moyo!
man u,athletico madrid,walipochukua europa hamkusema wanafunga vi timu vidogo?
 
Timu nyingi za EPL hasa hizi za Mid table team like West ham ,,Newcastle, Burnley, Everton hawana tabia ya kumsubiri mchezaji aje kuadapt system ya mpira wa EPL hawa wanasajili mchezaji kwa malengo yao ukishindwa hawana muda wa kukusubiri ni benchi baada ya hapo unawekwa sokoni.
 
Ushabiki Wa Kidini Uende Sambamba Na Michezo? Hiyo Haitakuwa Michezo Bali Dini Kujiingiza Na Kutawala Michezo. Bora Siasa Itawale Michezo Kuliko Dini, ndiyo maana kuna wizara ya michezo na inaongozwa na waziri wa michezo ambaye ni mwanasiasa, si padri, mchungaji wala sheikh. Michezo inaunganisha watu wa imani zote. Hivyo basi wanamichezo wanapaswa kuanzisha huduma za watu wote ili waendelee kunufaika kwa mafanikio yake bila ubaguzi wa kidini. Yule mchezaji ni wa wote siyo wa dini yake pekee, afanye vitu vya kunufaisha wengi. Hachezi Kwa Ajili Ya Imani Yake, Anacheza Kama Pia Kwa Ajili Ya sifa kwa taifa lake.Taifa lake halina dini
 
Back
Top Bottom