Samatta kuonekana UEFA au Ligi Kuu ya England. BIG up jembe la Tanzania

Alienda Spurs akiwa na umri gani?

Kwahiyo Messi hafiti huko kwasababu kacheza klabu moja tu Ulaya?
 
Huu ndio ukweli nishabishana sana na watu mtaani jamaa akitaka tumpoteze kwenye soka aende epl aiseeeee......atapata frustration kama alizopata torres pale chelsea mpaka yeye na goli anapiga nje.......akimbilie france kwanza
 
Ndidi
 
Epl kashindwa kuadopt nolito diego costa jitu la miraba minne kuna yule muafrika alikipiga stoke city now yupo psg.....hao ni wachache tu angalia uwezo wao uwanjani wamemuacha mbali sana samatta na bado wakachemsha hapo sijamuweka falcao
 
Afrika ina soka gumu kuliko epl
 
Waambie hao diouf katoka united kwenda stoke kilichomkuta huko eti leo ni winga badala ya fowadi
 
Epl kashindwa kuadopt nolito diego costa jitu la miraba minne kuna yule muafrika alikipiga stoke city now yupo psg.....hao ni wachache tu angalia uwezo wao uwanjani wamemuacha mbali sana samatta na bado wakachemsha hapo sijamuweka falcao
Kwahiyo kwavile hao walishindwa ku-adapt ndo basi tena Samatta na yeye LAZIMA atashindwa tu?! Hii notion mnaipata wapi?! Kwani pale Simba Samatta ndo alikuwa mchezaji bora kuliko wengine?! Wao waliokuwa wanamzidi wapo wapi?! Man, soka haina cha kwamba eti walikuwa wakali sana uwanjani bali pamoja na uwezo wako, suala la kujituma na kuweka bidii kwenye soka ni jambo muhimu sana! Wapo wachezaji ambao walifanya vizuri sana kwenye ligi kubwa za Ulaya kuliko wanaofanya vizuri hivi sasa lakini soka lao liliisha mapema kutokana na kukosa bidii, nidhamu na kujituma!! Hata tukimchukua yule Samatta aliyekuwa anacheza Ligi Kuu Tanzania; ni Watanzania wangapi walikuwa wana kiwango kuliko cha kwake lakini hawakufika popote?!! Na kwa wachezaji wa Kitanzania walivyo, Samatta ile kufika TP Mazembe tu tayari ange-relax hasa ukizingatia kwa wakati ule hakukuwa na wachezaji wengi wanaocheza nje! Pamoja na hayo, Samatta haku-relax!
 
Umeambiwa umfatilie mambo yake au urongo tu mkuu... Au kuna mimba aliikataa hapo kwenu?
Fata sheria DNA ipo
 
Waambie hao diouf katoka united kwenda stoke kilichomkuta huko eti leo ni winga badala ya fowadi
Mkuu nikishindwa mimi maana yake na wewe utashindwa?.. NDIDI mbona anacheza.. ok
Kisa ni mtanzania au.. Mbona amleti mifano ya walioweza kucheza epl kutoka ligi tofauti AU HAWAPO?
 
Umeambiwa umfatilie mambo yake au urongo tu mkuu... Au kuna mimba aliikataa hapo kwenu?
Fata sheria DNA ipo
Kujenga msikiti staa huyo si hadhi yake ni aibu, bora angefanya kitu cha kunufaisha wengi si wa imani yake pekee, hakuna sababu kutangaziwa staa kutukuza imani yake katikati ya wenye imani tofauti. Imani yake haina haja ya kujua anaamini nini, atajua yeye na mungu wake. Kila staa akitangazwa anachoamini wengine tutawaogopa kwa wanachoamini
 
Huu ndio ukweli nishabishana sana na watu mtaani jamaa akitaka tumpoteze kwenye soka aende epl aiseeeee......atapata frustration kama alizopata torres pale chelsea mpaka yeye na goli anapiga nje.......akimbilie france kwanza
Torres wa chelsea?.. wa Liverpool mbona unamkwepa?
Hivi wanaocheza hapo epl wote wametoka ligi moja au timu moja?.. Au wana mizimu kwenye damu?
 
Nenda kabomoe...
 
Ni kweli jamaa ana akili... we ni mjinga hujui mada inaongelea nini umekomaa tu.
We ni mtoto hadi ustuliwe konzi ya kichwa?
Yaliyomo Yamo Hapa Ndiyo Pa Kusemea, We Umekazana Na Matusi Tu, Mada inaeleweka umeacha kujibu unakimbilia kutokwa povu tu, shaurini mastaa wenye hela zao wajenge vitu vya maana kwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…