Samatta kuonekana UEFA au Ligi Kuu ya England. BIG up jembe la Tanzania

We ndio chizi kabisa.. topic inahusu dini au michezo?
We Mama Sikuelewi !? Mada Inamhusu nani? michezo? huyo mwanamichezo kapata mafanikio kakimbilia kujenga msikiti badala ya shule au hospitali jamii nzima inufaike, sasa kila mwanamichezo akipata mafanikio miongoni mwa jamii zenye imani tofauti akajenge nyumba ya ibada ya dini yake? Huo ni ujuha, michezo haikuzwi na imani za kidini
 
Huu ndio ukweli nishabishana sana na watu mtaani jamaa akitaka tumpoteze kwenye soka aende epl aiseeeee......atapata frustration kama alizopata torres pale chelsea mpaka yeye na goli anapiga nje.......akimbilie france kwanza
Barikiwa
 
Alienda Spurs akiwa na umri gani?
Kwahiyo Messi hafiti huko kwasababu kacheza klabu moja tu Ulaya?
Sifahamu umri wa wanyama alioenda nao spurs.

Messi amelelewa kwenye academy ya Barcelona timu ambayo unaunganisha timu zote za Afrika na haziifikii kwa lolote siandiki kishabiki mkuu.

Barcelona ina fedha inalipa kwa wiki.
Barcelona ina world class players
N.k
Samatta katokea African Lyon kisha Simba na baadae Tp mazembe na sasa Genk ni timu za madaraja ya kawaida sanaaaa.

Genk kwenye ligi yao haina hata hadhi iliyonayo Azam fc akomae hapohapo aonyeze maajabu kuliko kwenda Birmingham au Cardiff ohooo
 
kwani, kama atakuwa analipwa mshahara mkubwa wa mamilioni ya euro, hata akikaa bench kuna shida gani, kuliko kukaa ubelgiji awe anapokea vielfuelfu? mbona hamjui ujasiriamali ninyi? mwaka mmoja unapata hela ambayo ungepata Gent miaka 10.
Aiseee! Samatta hajazaliwa Europe wala Amerika amezaliwa kwenye nchi ya kikapuku kalelewa maisha ya kikapuku Genk anapata mshahara mkubwa sana na analipwa kwa £ s mchezo.

Wachezaji wote duniani hawataki kukaa benchi eti kisa wanalipwa millions of pounds lol! Match fitness is an important thing kuliko pesa ndugu.

Ukiwa huna match fitness unauwa carrier yako mwisho wa msimu unaachwa na hakuna timu ya maana itakayokutaka.
 
Huyo niliemtaja ni world class player toka yupo atletico na bado epl palimtoa jasho
Torres wa chelsea?.. wa Liverpool mbona unamkwepa?
Hivi wanaocheza hapo epl wote wametoka ligi moja au timu moja?.. Au wana mizimu kwenye damu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…