Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Msalimie rafiki yako Dullah na Sosipit mutoto wa muenyekitiVitimu vitajitokeza hata ambavyo havijulikani ili mradi tu viwepo.
Samata atajiongeza mwenyewe ila mgao wasitegemee kupata.
NDIOOOOOO TUMEPATATeh teh teh teh teh.
Anti-Msimbazi wanateseka sana.
Hiviiiii,nyie vyura wa kihansi mmeshapata haki zenu kwa Msuva huko sijui Benfica???
Mtakachopata nyie ni 5% ya mauzo,nayo mtagawana na hizo timu zote alizopitia za afrika. Yaani huo UKOKO mtagawana wote alikopitiaKiasi gani??
Sisi chetu tutakachokipata tunawanunua hadi mashabiki wenu kudadadek.
Simba hawapati chochoteMtakachopata nyie ni 5% ya mauzo,nayo mtagawana na hizo timu zote alizopitia za afrika. Yaani huo UKOKO mtagawana wote alikopitia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mbona sheria ziko wazi, timu alizochezea zote kuanzia miaka 12 hadi 23 wana mgao waoNakumbuka kwamba Timu ya Kimbangulile FC ya Mbagala ndiyo iliyomlea Mbwana Samatta hadi kufikia kuonwa na vilabu vikubwa , na kuna wakati iliambulia mgawo kwenye mauzo ya Mbwana , sina kumbukumbu kama ni kule TP Mazembe au KRC GENK .
Ninaamini kama kuna mgawo wowote wa kisheria basi Kimbangulile FC haitasahaulika
Unachanganya madesa mzee, alichosemea ceo sio kinachozungumziwa hapaCEO wa simba amesema hawatapata chochote, mkataba uliisha baada ya kusajiliwa genk,
Kuna wajanja wajanja hapo TFFMzee mbona sheria ziko wazi, timu alizochezea zote kuanzia miaka 12 hadi 23 wana mgao wao
Kabla ya Kimbangulile FC alikua akichezea Zakhiem United, nao watataka chao pia.Nakumbuka kwamba Timu ya Kimbangulile FC ya Mbagala ndiyo iliyomlea Mbwana Samatta hadi kufikia kuonwa na vilabu vikubwa , na kuna wakati iliambulia mgawo kwenye mauzo ya Mbwana , sina kumbukumbu kama ni kule TP Mazembe au KRC GENK .
Ninaamini kama kuna mgawo wowote wa kisheria basi Kimbangulile FC haitasahaulika
Teh teh teh teh teh.
Anti-Msimbazi wanateseka sana.
Hiviiiii,nyie vyura wa kihansi mmeshapata haki zenu kwa Msuva huko sijui Benfica???
Ki msingi Samatta mwenyewe hashindwi kutoa mshahara wake japo hata wa Siku 1 au hata Wiki 1 akawapa Kimbangulile FC. Yeye hatopoteza Sana lakini upande wa Kimbangulile utakua umefaidika Sana.Nakumbuka kwamba Timu ya Kimbangulile FC ya Mbagala ndiyo iliyomlea Mbwana Samatta hadi kufikia kuonwa na vilabu vikubwa , na kuna wakati iliambulia mgawo kwenye mauzo ya Mbwana , sina kumbukumbu kama ni kule TP Mazembe au KRC GENK .
Ninaamini kama kuna mgawo wowote wa kisheria basi Kimbangulile FC haitasahaulika
Na mbagala market pia alichezaKabla ya Kimbangulile FC alikua akichezea Zakhiem United, nao watataka chao pia.
Hao Kimbangulile ni wa Juzi tu! Samatta alianza kukipiga pale Sukamahela FC
Natarajia na wao watapata Mgao wao kwenye hiyo asilimia 5
Sheria inasema asilimia 5 ya mauzo itagawanywa kwa timu alizopitia kwa maana ya hizo timu za Afrika ikiwemo Tp mazembe,simba,Lyon na hiyo uliyosema kama ndiko alikotokea. Hiyo 5% ya mauzo ndio waragawana hao
Sent using Jamii Forums mobile app