Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nakumbuka kwamba Timu ya Kimbangulile FC ya Mbagala ndiyo iliyomlea Mbwana Samatta hadi kufikia kuonwa na vilabu vikubwa , na kuna wakati iliambulia mgawo kwenye mauzo ya Mbwana , sina kumbukumbu kama ni kule TP Mazembe au KRC GENK .
Ninaamini kama kuna mgawo wowote wa kisheria basi Kimbangulile FC haitasahaulika
Ninaamini kama kuna mgawo wowote wa kisheria basi Kimbangulile FC haitasahaulika