Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Jan 26, 2020 #21 Mwana Mnyonge said: Kaka hao Sukamahela FC ni wajuzi tu Samatta alianza kuchezea kibwailo Rangers FC ya mbagala maji Matitu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kibwailo Rangers si ya Diwani wa juzi tu yule kabla ya hapo alikua Mkoma Nyani FC ya pale Mbagala mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
Mwana Mnyonge said: Kaka hao Sukamahela FC ni wajuzi tu Samatta alianza kuchezea kibwailo Rangers FC ya mbagala maji Matitu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kibwailo Rangers si ya Diwani wa juzi tu yule kabla ya hapo alikua Mkoma Nyani FC ya pale Mbagala mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jan 26, 2020 Thread starter #22 netein said: usipotoshe hii sheria inatumika kwa wachezaji waliokulia academy... na ni academy iliyohusika kumkuza mchezaji ndiyo wanapata hii kitu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Na ndio maana nimeitaja kimbangulile fc
netein said: usipotoshe hii sheria inatumika kwa wachezaji waliokulia academy... na ni academy iliyohusika kumkuza mchezaji ndiyo wanapata hii kitu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Na ndio maana nimeitaja kimbangulile fc
Rajab_Omar JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 16,482 Reaction score 27,182 Jan 26, 2020 #23 Shark said: Kibwailo Rangers si ya Diwani wa juzi tu yule kabla ya hapo alikua Mkoma Nyani FC ya pale Mbagala mwisho Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mwana Mnyonge said: Kaka hao Sukamahela FC ni wajuzi tu Samatta alianza kuchezea kibwailo Rangers FC ya mbagala maji Matitu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nyie watu bhana! [emoji23] [emoji23] Naona mumegeuka Wakenya! Samatta amekuwa kacheza Timu nyingi kuliko idadi ya miaka yake [emoji23]
Shark said: Kibwailo Rangers si ya Diwani wa juzi tu yule kabla ya hapo alikua Mkoma Nyani FC ya pale Mbagala mwisho Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mwana Mnyonge said: Kaka hao Sukamahela FC ni wajuzi tu Samatta alianza kuchezea kibwailo Rangers FC ya mbagala maji Matitu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nyie watu bhana! [emoji23] [emoji23] Naona mumegeuka Wakenya! Samatta amekuwa kacheza Timu nyingi kuliko idadi ya miaka yake [emoji23]
mchumi tumbo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2018 Posts 832 Reaction score 992 Jan 26, 2020 #24 Kimbangulile kitaa pande za ghana,njolinjo fc dah home sweet home Sent using Jamii Forums mobile app
K kochaMchezaji Member Joined Feb 15, 2015 Posts 97 Reaction score 84 Feb 2, 2020 #25 JINA MBAGALA KUJULIKANA KIMATAIFA. WATALITAMKA MBAEGAILER Sent using Jamii Forums mobile app