Kuna watu hawapendi kusikia Samatta anakosolewa kwa lolote. Samatta alikuwa anasoma comments za mitandaoni kuhusu yeye zaidi kuliko kujikita kwenye lile lililompeleka AV.Angebakije EPL wakati ASTON VILLA hawamtaki na hakuna team nyingine iliyoonyesha interest?
Huyu kiwango kimeshuka na motivation kwisha kabisa. Kocha wake alisema hata mazoezini tu haonyeshi juhudi. Inabidi akajipange ipya huko aendapo
Samatta sio mjinga wa kiasi hiki, ni mtu anayejielewa na ni mtu anayejituma sana kwa mazoezi, ni kwamba AV hawamtaki haina maana kuwa hafai kwingineKuna watu hawapendi kusikia Samatta anakosolewa kwa lolote. Samatta alikuwa anasoma comments za mitandaoni kuhusu yeye zaidi kuliko kujikita kwenye lile lililompeleka AV
Aston villapole ys nn hasa, aston villa ni timu inayopenda sana kusajili sajili, hata msimu ujao wanaweza wakawatoa hawa waliosajiliwa msimu huu wakasajili wengine, wacha samata akatwange uturuki maishan popote
Kwa manufaa ya wananchi wake kimataifa ni vizuri ni vizuri mifumo yote kijamii, kisiasa, kiuchumi na taarifa ya kila nchi ikawa ya wazi na kuaminika kitaifa, kikanda na kimataifa pia.akacheze uturuki kuliko kukaa benchi villa. siku nyingine washaurini watoto wenu wasidanganye umri maana kila kitu wataona wanaonewa, akili inataka mwili unakataa
Kila mtu ana ndoto ya kucheza EPL, ina maana timu zooooote za EPL hazimtaki, amewafanya nini au hakufanya nini EPL?Samatta sio mjinga wa kiasi hiki,ni mtu anayejielewa na ni mtu anayejituma sana kwa mazoezi,ni kwamba AV hawamtaki haina maana kuwa hafai kwingine
Ukiwa maarufu huwezi kuyakwepa haya. Inawezekana wewe ni mwanachama hai wa CCMWatanzania tunachekesha sana, nadhani umasikini umetuathiri sana kisaikolojia, mtanzania anaweza kuchambua maisha ya mtu kiasi kwamba hata yule mhusika akashangaa sana.