Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio unaona bora kukalisha mapumbu na kumjadili mwanaume mwenzio anayevuja jasho uwanjani na kupata pesa nyingiUkiwa maarufu huwezi kuyakwepa haya. Inawezekana wewe ni mwanachama hai wa CCM
Ndo sababu vitabu vya din vinatusii tuwaombee na wengineWatanzania tunachekesha sana, nadhani umasikini umetuathiri sana kisaikolojia, mtanzania anaweza kuchambua maisha ya mtu kiasi kwamba hata yule mhusika akashangaa sana.
Kwaiyo umri ndo umemfanya ashindwe kucheza eplwakati huo akiwa na umri gani?
Samata yupo Aston villa. Shafii dauda asikupotoshe.
Hongera sana nadhodha wetu. Watu waache sasa kumfuatafuata tena na huko kama ilivyokuwa kwa Aston Villa. Watu wanamfuata kiwanjani eti waone anavyocheza, hii inaweza kumchanganja kijana wetu kwani akili yake badala ya kuwa kwenye dimba pekee anawaza na ndugu na jamaa waliomfuata hadi kiwanjani. Komeni, wacha kijana a concentrate kiwanjani.Anastahili hongera, na tunapaswa tuelewe kwamba samatta alikuwa akicheza timu ya kawaida katika ligi bora duniani. Kuna vitu vingi ananda kuongea kwenye carieer yake ya mpira kwani Klabu yake ya sasa imekuwa ikishirki vyema katika mashndano ya Europa leage na kidoogo champions leage tofauti na ilovyokuwa Gent
Mmmh, kwahiyo nahodha wetu yawezekana alicheza chini ya kiwango AV ili akimbie Kodi kubwa za EPL?Kuna suala pia la makato makubwa ya kodi Uingereza nd'o maana wachezaji na mawakala wao wakati mwingine wanapakimbia Uingereza . Mara nyingi walaji ( mashabiki ) hatuwezi kuambiwa kila kitu . Nyuma ya pazia kuna sababu zaidi ya hizi tunazoambiwa . Nafikiri tusubiri kuona atafanya nini Fernebache . Kila la heri kwake .
Mhh tupe mfano wa mchezaji Bora ,aliyekimbia Kodi Uingereza!Kuna suala pia la makato makubwa ya kodi Uingereza nd'o maana wachezaji na mawakala wao wakati mwingine wanapakimbia Uingereza . Mara nyingi walaji ( mashabiki ) hatuwezi kuambiwa kila kitu . Nyuma ya pazia kuna sababu zaidi ya hizi tunazoambiwa . Nafikiri tusubiri kuona atafanya nini Fernebache . Kila la heri kwake .
Kama wewe siyo great thinker huwezi kunielewa . Wewe unajikita kwenye sababu ulizoambiwa , sisi wengine huwa tunapenda kushughulika na yale yasiyosemwa hadharani . Think well brother .Mmmh, kwahiyo nahodha wetu yawezekana alicheza chini ya kiwango AV ili akimbie Kodi kubwa za EPL?