Samatta Ndani ya UEFA

Samatta Ndani ya UEFA

Ndio mnasema samata akacheze EPL?
Ukiniuliza kwanini wazungu wana maendeleo kwenye kila wanachofanya nitakujibu simply wenye akili kama zako wako 0.01% wakati huku Tz mko kama wote.
 
Kwa namna moja au nyingine najua kuna mamilioni ya watanzania walikua wakingoja mtanange wa Genk ndani ya UEFA CL kumuona champion boy Mbwana Samatta.. Kama miongoni mwa watanzania basi natumia fursa hii kumpongeza champion boy 255 kwa kuipeperusha bendara ya Tanzania vyema, napata faraja sana.. Goodluck samagoal a.k.a captain diego.. #HainaKufeli
kaitia gundu team yake imepigwa 7
 
Jamaa aliipania sana UEFA, umeme ulimnasa baati tu asee
 
Back
Top Bottom