Samatta Ndani ya UEFA

Samatta Ndani ya UEFA

Muunganiko wa timu bado itakuwa vizuri tu maneno yetu WA bongo hayo kipindi cha pili sijui itakuaje
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ht wamekula mkono,nadhani hadi full time itakuwa10
 
Kwa hiyo maneno aliyosema manara inawekana yana ukweli. Amesema ligi ya ubelgiji ni dhaifu mnoo kwenye Sports AM ya azama tv
 
Back
Top Bottom