milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,166
Sasa wakienda Anfield au Naples itakuwaje?Wamejitahidi wamepata moja, hao hawahawahi kushinda mechi yoyote hilo kombe
Hapo Samata na Genk wako darasani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wakienda Anfield au Naples itakuwaje?Wamejitahidi wamepata moja, hao hawahawahi kushinda mechi yoyote hilo kombe
Hapo Samata na Genk wako darasani
Genk kibonde ktk CLHalland alifungaga goli 9 peke yake na Leo ana hatrick dah kumbe Genk ni dhaifu hivi akienda Anfield au Naples walahi watapigwa 8
Hawana cha kupoteza ,km hapo Redbul kala 5, huko kwingine akila wiki sio mbayaSasa wakienda Anfield au Naples itakuwaje?
Hilo group vibonde ni Genk na Napoli. Hao Redbull sio watu wazuri kitambo sana.Washapigwa 3 kwa 1 kina Samatta na hii ndo mechi kwao ilikuwa na afadhali zaidi ya hapo hatatoka na point yoyote kwa Napoli au Liverpool
Bingwa wa ubelgiji huyo[emoji23][emoji23]amna timu apa
Na Liverpool watakula 20Ameshakula 5 ht na bado v Liverpool na v Napoli
Champion boy katupia huko 5-2
Yeah 6 kwa 2 nowSamatta katupia