Samatta tena!

Watu sijui wakoje kwani kukiri ni mchezaji aliyepaishwa na simba kunakupunguzia nini? Samatta Tp mazembe walimwona baada ya simba kucheza nao.Chaajabu nini hapo? Simba ikiwakilisha Nchi kina kichuya,Ndemla na Ajibu nao wataenda tu, simba si timu ya kubahatisha ati.
 
nikiangalia samata anavyojitahidi namkumbuka hasheem thabeet jamaa sijui kapotelea wapi, tungekuwa na icons wawili.
 
Kama wachezaji wengine wasingelewa sifa nadhani tungekuwa na wachezaji wengine wengi nje ya nchi.

Juzi nasikia ngassa nae anataka kwenda kucheza tena soka la kimataifa "Nilitetemeka sana"
 
Kama wachezaji wengine wasingelewa sifa nadhani tungekuwa na wachezaji wengine wengi nje ya nchi.

Juzi nasikia ngassa nae anataka kwenda kucheza tena soka la kimataifa "Nilitetemeka sana"
Mkuu kilikutetemesha kitu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…