nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
nlijuatu aisee weng wasiopenda soka ni wapenzi wa basket....poapoa kakaNapenda basket, zaidi ya hapo labda michezo ya olimpic na commonwealth...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nlijuatu aisee weng wasiopenda soka ni wapenzi wa basket....poapoa kakaNapenda basket, zaidi ya hapo labda michezo ya olimpic na commonwealth...
Kichuya.Nani mchezaji wa simba?
Ndio amefanya nini?Kichuya.
We siumeuliza nani mchezaji wa simba mkuu au sijasoma vizuri.Ndio amefanya nini?
Huo ndo nn TNA?!Huyu ni zaidi ya hatari!
View attachment 480045
kivipi kwa mfanoWizara ya Maliasili na utalii ilitakiwa kufanya kazi na huyu .....kijana ...kunako matangazo ya mbuga...jamaa nao wazito kweli kucheki fursa za kujitangaza
Ndio amefanya nini?
Umevurugwa?We siumeuliza nani mchezaji wa simba mkuu au sijasoma vizuri.
Kwani uzi huu unamhusu naniNani mchezaji wa simba?
Kwahiyo wewe unaona Samatta ni mchezaji wa mikia?Kwani uzi huu unamhusu nani
Wewe hujui hesabu?Kwahiyo wewe unaona Samatta ni mchezaji wa mikia?
Kwahiyo mikia mpo ulaya siku hizi?Wewe hujui hesabu?
Samata =simba
Samata ni mchezaji wa simba!Kwahiyo mikia mpo ulaya siku hizi?
Mkuu kilikutetemesha kitu ganiKama wachezaji wengine wasingelewa sifa nadhani tungekuwa na wachezaji wengine wengi nje ya nchi.
Juzi nasikia ngassa nae anataka kwenda kucheza tena soka la kimataifa "Nilitetemeka sana"