Samatta tena!

Samatta tena!

Kama wachezaji wengine wasingelewa sifa nadhani tungekuwa na wachezaji wengine wengi nje ya nchi.

Juzi nasikia ngassa nae anataka kwenda kucheza tena soka la kimataifa "Nilitetemeka sana"
Huyu alipitia pale bwawani ndo maana safari iliisha kabla haijaanza.
 
Kama wachezaji wengine wasingelewa sifa nadhani tungekuwa na wachezaji wengine wengi nje ya nchi.

Juzi nasikia ngassa nae anataka kwenda kucheza tena soka la kimataifa "Nilitetemeka sana"
Mi nilizima radio.
 
Kama sheria za FA pale england zisingekuwa zinabana samatta angeweza kutua kwenye timu mojawapo
Kweli aisee. Jamaa wana sheria ngumu hasa. Mojawapo ile ya mchezaji anaeenda epl kama senior player nchi yake lazima iwe ndani ya 70 FIFA.
 
Huyu kijana ni hatari sana.Akiamua kupasua msitu wa mabeki utampenda.Anapiga chenga hatari,anakwepa tackles balaa.Mchezo kati ya Stars na Botswana huyu kijana alikuwa kwenye kiwango cha juu sana.
 
Samatta namkubali sana anajitambua na ana ndoto ambazo anataka kuzifikia ndio maana anaweka juhudi.
 
Back
Top Bottom