Asante kwa niaba!1. Sio mdau mkubwa wa hii siku ila ningependa kutuma salamu kwa wana jamii forum wote
Mayatima π3. Nipo kama panga la mmasai
π₯Ήπ₯Ήπ₯Ή4. Benson bone " forever and a day"
Kumbe shida yetu unaijuaYani mkinyimwa mnakua na visirani vya hovyo π Sasa tag ni kitu cha kumfungia mtu kweli?
Unalala kama panga au unapumuliwa leo π π ?ππππππ
Ebo! Hizi ni bange au alikasusu!Namkubali sana mwanangu Mbaga Jr
Nakukumbuka sana... wewe ni mtu wa maaana kabisaaaNgoja nione kama mimi kuna atakayenikumbuka aise
MchaichaiEbo! Hizi ni bange au alikasusu!
We hate you!Nasema hivi, nisipo sikia jina langu humu, nasepa mwaka mzima no kucomment, nione kama mtakenua meno yenu tena pambafu zenyu!
Yani wakati wa toba wewe unaongeza dhambi πNaam, hasa hasa wakati wa toba, tumesimama, tumefunga macho hapo hapo nakirusha
Nahisi kuna kiumbe kimelalamika tena kwamba nyuzi zangu za "hovyo" zinatembea sana kuliko madini yao π€·ββοΈππ
Si nikashangaa imekuaje hujatag mtu kwenye uzi wako na sio kawaida
Nan yupo tayali nimkodi tupige tu picha ya pamoja πKabisa, hawa wazee wetu ukiwaambia hayo mambo ya Valentine hata hawaelewi.
Tupo wengi π
View attachment 3543571
Sikupi tamu yangu, ukitaka nipige na ban tu πKumbe shida yetu unaijua
Tuchangiane hela ya kumkodi, wewe utampost na sura, mimi mikono yake tu na box tupu la zawadi vinanitosha ππNan yupo tayali nimkodi tupige tu picha ya pamoja π
Limepita hilo bado mkodiwaji ajitokezeTuchangiane hela ya kumkodi, wewe utampost na sura, mimi mikono yake tu na box tupu la zawadi vinanitosha ππ