Sambaza upendo na tuma salamu kwa wanajukwaa wanaokufurahisha ❣️

Sambaza upendo na tuma salamu kwa wanajukwaa wanaokufurahisha ❣️

Hiyo ni juu yake, hata mimi hunichafua na majina mabaya mabaya tu hovyo ila navunga, so ngoma ni drow drow muhimu upendo UPOOOO!
giphy 20.GIF
 
Mbona mi sijatajwa yaan hata wazee wa mshahara wa junuak hamnijui dah hy dunia ngumu ok ngoja nijitag mwenyewe OYA MWAMBA PIPA NAKUKUBALI SANA MWANANGU NA NYUZ ZAKO
 
  1. Leo ni siku ya kuonyeshana upendo, tuma salamu kwa memba wanaokuongezea furaha au maarifa humu jukwaani?

  2. Vipi huko kwenu Feb 14 ni siku special au hayo ni mambo ya kizungu hayawahusu?

  3. Ratiba yako ikoje? umeshapata mualiko mahali au unasubiri kulala mwenyewe usiku kama panga la mmasai?

  4. Nyimbo gani za upendo, mapenzi, huba zinakuburudisha siku ya leo?

  5. Uliza swali lenye utata kuhusu mapenzi na mahusiano, ujibiwe.
Mimi nakapendaga ka Min-me ingawa sijui kama ni ka Ke au Me!
 
Back
Top Bottom