Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Hiyo ni juu yake, hata mimi hunichafua na majina mabaya mabaya tu hovyo ila navunga, so ngoma ni drow drow muhimu upendo UPOOOO!Unafikiri hivyo unavyomchafua na kumpaka tope yeye bibie anajisikiaje?
Niende wapi?Toka shetani!
KuzimuNiende wapi?
Nakazia mama mtu unaakili ile mbaya.Matajiri hawatoi ela ya soda
Hiyo ni juu yake, hata mimi hunichafua na majina mabaya mabaya tu hovyo ila navunga, so ngoma ni drow drow muhimu upendo UPOOOO!
Huko Yesu alishaenda na kumpokonya shetani funguo za makomeo hivyo hakukaliki kupo wazi.Kuzimu
Mimi sio tajiriMatajiri hawatoi ela ya soda
Kmmy zao 😹😹😹View attachment 3543557
Pokeeni kampani vijana wangu
mshamba_hachekwi
binti kiziwi
Lamomy
min -me
Demi
Poor Brain
Na wengine wote.
Jeshi lenu linawapenda sana
😅
Mimi nakapendaga ka Min-me ingawa sijui kama ni ka Ke au Me!
- Leo ni siku ya kuonyeshana upendo, tuma salamu kwa memba wanaokuongezea furaha au maarifa humu jukwaani?
- Vipi huko kwenu Feb 14 ni siku special au hayo ni mambo ya kizungu hayawahusu?
- Ratiba yako ikoje? umeshapata mualiko mahali au unasubiri kulala mwenyewe usiku kama panga la mmasai?
- Nyimbo gani za upendo, mapenzi, huba zinakuburudisha siku ya leo?
- Uliza swali lenye utata kuhusu mapenzi na mahusiano, ujibiwe.
Au sio 😹😹
Asante ngoja nitafute viwalo na nauliAu sio 😹😹
Wewe usijali coca atakuleta kwangu kwenye nyumba ya urithi bonyokwa..!!
Mchaichai unasema ulowekwe unyweweView attachment 3543612
Mchaichai wenyewe unasemaje?
Fanya haraka chakula kitapoa 😹Asante ngoja nitafute viwalo na nauli
Hakipoi kabla sijafika! Wenye wivu ujinyongeFanya haraka chakula kitapoa 😹
Shukrani bwasheeHa ha ha kajinga! Basi napenda tu jinsi unavyo-likegi mchango ya wadau humu ndani! Utafikri mnashindana na ka Joseverest!