KERO Same Mjini wizi wa TV umekithiri, mwezi mmoja zimeibiwa TV zaidi ya 30?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Noma sna mkuu apo same station kuna mtoto wa kiarabu alishaniambukiza kisonono nilishangaa sna 😁
Nlikuwa nakujaga mara Moja Moja napanda gari Moshi Same chap nawacheki wanangu pale tunazama karioki😁ni muhuri, Sema kule magonjwa kawaida wamama wa kipare wanabless Vijana wadogo
 
Nlikuwa nakujaga mara Moja Moja napanda gari Moshi Same chap nawacheki wanangu pale tunazama karioki😁ni muhuri, Sema kule magonjwa kawaida wamama wa kipare wanabless Vijana wadogo
Mkuu unajua harakati za pale same πŸ˜„πŸ˜„ nikija huko lazima nikawacheki madogo ni wabless sema matoto ya sasa ivi Malaini sna.
 
Mkuu unajua harakati za pale same πŸ˜„πŸ˜„ nikija huko lazima nikawacheki madogo ni wabless sema matoto ya sasa ivi Malaini sna.
Wanangu kibao wamepigia pale, mm nlikuwa Moshi sema nlikuwa naenda sana mpaka pamekua kama home
 
Dah hapo nimesoma same sec huo mji na uchukia sana umekaa kimateso sana cwez imagine kuna watu maisha yao ndio hapo full time mateso tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…