KERO Same Mjini wizi wa TV umekithiri, mwezi mmoja zimeibiwa TV zaidi ya 30?

KERO Same Mjini wizi wa TV umekithiri, mwezi mmoja zimeibiwa TV zaidi ya 30?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mji wa Same ni mdogo sana ila inashangaza ndani ya wiki tatu zilizopita zimeibiwa TV nyingi sana, je, zinakwenda wapi? Au zinauzwa wapi?

Maeneo ya Sterling na Stesheni kwa mfano zimeibiwa TV nne kwa siku moja, hii sio kawaida. Polisi hebu fuatilieni zinakopelekwa? Au kama hazijatoka Same zimefichwa wapi?
Mkuu bado tu unaibiwa TV. Unakumbuka nilivyowaibia tv chogo black and white 1988?
 
Back
Top Bottom