Same: Mwigulu Nchemba aamuru aliyejenga matundu ya vyoo tokea 2020 alipwe pesa zake papo hapo na watendaji wa Halmashauri

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Waziri Mkuu akiwa ziara Wilaya ya Same mkoa wa Kilimanjaro, ametatua kero ya mwanaume mmoja ambaye alijenga matundu ya vyoo 22 mwaka 2020 katika shule ya Sekondari Gonja, lakini mpaka leo 2026 alikuwa hajalipwa. Mwigulu Nchemba ameamuru watendaji wa Halmashauri wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya kuchanga pesa papo hapo ili mwanaume aweze kulipwa.

kazi na utu, tusonge mbele,

well done PM DR MWIGULU:KasugaYeah:
 
Hiyo ni kesi 1 kati ya nyingi zilipo halmashauri zote nchini.

Kwa nini isitolewe kauli ya jumla kwa DEDs wote nchini?
 
Back
Top Bottom