Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
kazi na utu, tusonge mbele,Waziri Mkuu akiwa ziara Wilaya ya Same mkoa wa Kilimanjaro, ametatua kero ya mwanaume mmoja ambaye alijenga matundu ya vyoo 22 mwaka 2020 katika shule ya Sekondari Gonja, lakini mpaka leo 2026 alikuwa hajalipwa. Mwigulu Nchemba ameamuru watendaji wa Halmashauri wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya kuchanga pesa papo hapo ili mwanaume aweze kulipwa.
Na inanuka kabisaNchi Imeoza Hii