Same: Watu 11 wafariki kwa ajali ya gari

Nilipita nikaona hiyo ajali jana. Innalillah wainna illayhi rajiuun
 
Daa, mola awatie nguvu majeruhi, wafiwa na wote wenye kuguswa na ajali
 
Alfad asee...hizo gari nasikia watu wanazigeuzaga guest
Ila jamii forums ina watu wengi wanaotumia uji kufikiri aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani nimecheka sana jamani
 
Alphad imechomoka tairi ikakosa muelekeo ndio ikagonga haisi ilio kua na abiria wanao toka hedaru kuelekea same, na hata hvyo tumepoteza majirani zetu na ndugu pia. Innalillah wainna ilayranjuin.
Nakurekebisha:
Tairi haikuchomoka, bali ili-bust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…