Mwanahabari Huria
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 406
- 308
Hongera sana Rais Samia===
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, mgombea huyo alisema ahadi hiyo inalenga kuinua kilimo kwa kuongeza tija na kupunguza gharama za uzalishaji. Alieleza kuwa trekta hizo zitalenga kusaidia wakulima wadogo katika mashamba yao ya kilimo cha chakula na biashara.
Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa letu. Tukihakikisha kila kijiji kinapata trekta, tutazalisha zaidi, tukae na chakula cha kutosha na pia tukiboresha uchumi wa vijijini
Wananchi waliohudhuria mkutano huo walipokea ahadi hiyo kwa shangwe, wakisema kuwa itakuwa msaada mkubwa katika kuongeza tija na kurahisisha shughuli za kilimo katika vijiji vyao.
watu gani?Sasa kama watu wanauawa mchana kweupe, hayo matrekta atayatumia nani?.
Ni dili yataletwa na yatakufa chapSasa kama watu wanauawa mchana kweupe, hayo matrekta atayatumia nani?.
sio kweliNi dili yataletwa na yatakufa chap
Hizi nazifananisha na zile porojo za Magufuli za 50m@kijiji.===
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, mgombea huyo alisema ahadi hiyo inalenga kuinua kilimo kwa kuongeza tija na kupunguza gharama za uzalishaji. Alieleza kuwa trekta hizo zitalenga kusaidia wakulima wadogo katika mashamba yao ya kilimo cha chakula na biashara.
Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa letu. Tukihakikisha kila kijiji kinapata trekta, tutazalisha zaidi, tukae na chakula cha kutosha na pia tukiboresha uchumi wa vijijini
Wananchi waliohudhuria mkutano huo walipokea ahadi hiyo kwa shangwe, wakisema kuwa itakuwa msaada mkubwa katika kuongeza tija na kurahisisha shughuli za kilimo katika vijiji vyao.
We UWT subiri pombe, nyama na ngono kwenye kampeni mengine huwezi kuelewasio kweli
Porojo tu hizo.Hivi anagombea dhidi ya nani?!===
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, mgombea huyo alisema ahadi hiyo inalenga kuinua kilimo kwa kuongeza tija na kupunguza gharama za uzalishaji. Alieleza kuwa trekta hizo zitalenga kusaidia wakulima wadogo katika mashamba yao ya kilimo cha chakula na biashara.
Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa letu. Tukihakikisha kila kijiji kinapata trekta, tutazalisha zaidi, tukae na chakula cha kutosha na pia tukiboresha uchumi wa vijijini
Wananchi waliohudhuria mkutano huo walipokea ahadi hiyo kwa shangwe, wakisema kuwa itakuwa msaada mkubwa katika kuongeza tija na kurahisisha shughuli za kilimo katika vijiji vyao.
Na mabomba yatatoa maziwa badala ya maji...πDuh aiseee
Hizo trecta zinasaidiaje hao wanakijiji kwa mfano VIPI KILIMO BORA KILI ISHIAGAGA WAPI.===
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, mgombea huyo alisema ahadi hiyo inalenga kuinua kilimo kwa kuongeza tija na kupunguza gharama za uzalishaji. Alieleza kuwa trekta hizo zitalenga kusaidia wakulima wadogo katika mashamba yao ya kilimo cha chakula na biashara.
Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa letu. Tukihakikisha kila kijiji kinapata trekta, tutazalisha zaidi, tukae na chakula cha kutosha na pia tukiboresha uchumi wa vijijini
Wananchi waliohudhuria mkutano huo walipokea ahadi hiyo kwa shangwe, wakisema kuwa itakuwa msaada mkubwa katika kuongeza tija na kurahisisha shughuli za kilimo katika vijiji vyao.
Mwandishi atakuwa na wenge!Trekta 100 ndio sawa na trekta moja kila kijiji..??
Wewe mzee sio kwa izo kejelii unataka wengine tuchekee then tuje tutekwe π€π€Na mabomba yatatoa maziwa badala ya maji...π
Wewe Dini gan?Bahati nzuri ni kuwa mama hafiki kuapishwa. Mungu atatenda haki kabla ya October kuisha.