Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Kwanini mpaka achaguliwe? anasubiri nini wakati sasa ni Raisi na huo uchaguzi si anagombea peke yake , za kupewa changanya na zako
Bashe huyoDili za Abdul hizo, jamaa atakuwa amepata dili huko China au India hapo maza atatoa maelekezo chap mtoto apige pesa za wajinga
Mie nishatekwa na rich auntie huku kijijini Ibologelo...🤣Wewe mzee sio kwa izo kejelii unataka wengine tuchekee then tuje tutekwe 🤓🤓

Sina diniWewe Dini gan?
Ibologelo ipo shinyanga o😧neeee au kwimba oneMie nishatekwa na rich auntie huku kijijini Ibologelo...🤣
Hizo ni tenda za kuingiza matrekta 10,000 kwa akina Patel na Rostam. Ni yale yale mambo ya nishati safi kwa wote, ni biashara za Samia na washirika wake hakuna jingine.===
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, mgombea huyo alisema ahadi hiyo inalenga kuinua kilimo kwa kuongeza tija na kupunguza gharama za uzalishaji. Alieleza kuwa trekta hizo zitalenga kusaidia wakulima wadogo katika mashamba yao ya kilimo cha chakula na biashara.
Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa letu. Tukihakikisha kila kijiji kinapata trekta, tutazalisha zaidi, tukae na chakula cha kutosha na pia tukiboresha uchumi wa vijijini
Wananchi waliohudhuria mkutano huo walipokea ahadi hiyo kwa shangwe, wakisema kuwa itakuwa msaada mkubwa katika kuongeza tija na kurahisisha shughuli za kilimo katika vijiji vyao.
Mbona kichwa cha habari na kwenye andiko vitu viwili tofauti?Ama mauza uza ya mapema ya msimu wenyewe?===
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, mgombea huyo alisema ahadi hiyo inalenga kuinua kilimo kwa kuongeza tija na kupunguza gharama za uzalishaji. Alieleza kuwa trekta hizo zitalenga kusaidia wakulima wadogo katika mashamba yao ya kilimo cha chakula na biashara.
Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa letu. Tukihakikisha kila kijiji kinapata trekta, tutazalisha zaidi, tukae na chakula cha kutosha na pia tukiboresha uchumi wa vijijini
Wananchi waliohudhuria mkutano huo walipokea ahadi hiyo kwa shangwe, wakisema kuwa itakuwa msaada mkubwa katika kuongeza tija na kurahisisha shughuli za kilimo katika vijiji vyao.
Sawa na yako ComredWewe Dini gan?
Hili ..lilifanyika wakati wa Magufuli kupitia TADB .. Kila Kijiji chenye Chama Cha ushirika Cha msingi (AMCOS) ...Walioomba waliopewa ..Cha ajabu walipokonywa wote na TADB benki ya kilimo...bongo nyoso...usiniulize sana .. najua Nini kilifanyika ..===
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, mgombea huyo alisema ahadi hiyo inalenga kuinua kilimo kwa kuongeza tija na kupunguza gharama za uzalishaji. Alieleza kuwa trekta hizo zitalenga kusaidia wakulima wadogo katika mashamba yao ya kilimo cha chakula na biashara.
Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa letu. Tukihakikisha kila kijiji kinapata trekta, tutazalisha zaidi, tukae na chakula cha kutosha na pia tukiboresha uchumi wa vijijini
Wananchi waliohudhuria mkutano huo walipokea ahadi hiyo kwa shangwe, wakisema kuwa itakuwa msaada mkubwa katika kuongeza tija na kurahisisha shughuli za kilimo katika vijiji vyao.
Pikipiki, magari baiskeli serikali inasemaga inatoa Kwa vijiji lakini hata siku Moja hatujawahi kusikia zimepaki kwenye ofisini za kata Wala Kijiji, wanatumia hatuwajui.===
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, mgombea huyo alisema ahadi hiyo inalenga kuinua kilimo kwa kuongeza tija na kupunguza gharama za uzalishaji. Alieleza kuwa trekta hizo zitalenga kusaidia wakulima wadogo katika mashamba yao ya kilimo cha chakula na biashara.
Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa letu. Tukihakikisha kila kijiji kinapata trekta, tutazalisha zaidi, tukae na chakula cha kutosha na pia tukiboresha uchumi wa vijijini
Wananchi waliohudhuria mkutano huo walipokea ahadi hiyo kwa shangwe, wakisema kuwa itakuwa msaada mkubwa katika kuongeza tija na kurahisisha shughuli za kilimo katika vijiji vyao.
Tuupe muda nafasiPikipiki, magari baiskeli serikali inasemaga inatoa Kwa vijiji lakini hata siku Moja hatujawahi kusikia zimepaki kwenye ofisini za kata Wala Kijiji, wanatumia hatuwajui.
Hizi trekra... Ni another day dream
Utasubiri Sana, jamaa wanakula nch Sisi tunalalamika tuSawa na yako Comred
Yale la Kikwete ya kilimo kwanza yaliishia wapi?===
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, mgombea huyo alisema ahadi hiyo inalenga kuinua kilimo kwa kuongeza tija na kupunguza gharama za uzalishaji. Alieleza kuwa trekta hizo zitalenga kusaidia wakulima wadogo katika mashamba yao ya kilimo cha chakula na biashara.
Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa letu. Tukihakikisha kila kijiji kinapata trekta, tutazalisha zaidi, tukae na chakula cha kutosha na pia tukiboresha uchumi wa vijijini
Wananchi waliohudhuria mkutano huo walipokea ahadi hiyo kwa shangwe, wakisema kuwa itakuwa msaada mkubwa katika kuongeza tija na kurahisisha shughuli za kilimo katika vijiji vyao.
Mhhh!!!!!===

Mauza uza tuYale la Kikwete ya kilimo kwanza yaliishia wapi?
Igunga huku ukipita ZibaIbologelo ipo shinyanga o😧neeee au kwimba one
😄😄😄😄😄😅🤕🤕