Samia aahidi trekta 10,000 karibu kila kijiji trekta moja

Kwanini mpaka achaguliwe? anasubiri nini wakati sasa ni Raisi na huo uchaguzi si anagombea peke yake , za kupewa changanya na zako
 
Hizo ni tenda za kuingiza matrekta 10,000 kwa akina Patel na Rostam. Ni yale yale mambo ya nishati safi kwa wote, ni biashara za Samia na washirika wake hakuna jingine.
 
Mbona kichwa cha habari na kwenye andiko vitu viwili tofauti?Ama mauza uza ya mapema ya msimu wenyewe?
 
Hili ..lilifanyika wakati wa Magufuli kupitia TADB .. Kila Kijiji chenye Chama Cha ushirika Cha msingi (AMCOS) ...Walioomba waliopewa ..Cha ajabu walipokonywa wote na TADB benki ya kilimo...bongo nyoso...usiniulize sana .. najua Nini kilifanyika ..
 
Pikipiki, magari baiskeli serikali inasemaga inatoa Kwa vijiji lakini hata siku Moja hatujawahi kusikia zimepaki kwenye ofisini za kata Wala Kijiji, wanatumia hatuwajui.

Hizi trekra... Ni another day dream
 
Pikipiki, magari baiskeli serikali inasemaga inatoa Kwa vijiji lakini hata siku Moja hatujawahi kusikia zimepaki kwenye ofisini za kata Wala Kijiji, wanatumia hatuwajui.

Hizi trekra... Ni another day dream
Tuupe muda nafasi
 
Huku ndo kukoswa Dira kwenyewe lolote likija kicchwani anabwatuka tu.

Tunahiji mbole ya ruzuku angalau 30 kwa mfuko kg50 isiwe zaidi ya hapo hapo ndo uzalishaji utakuwa na tija.
Kwa sasa mbolea ya ruzuku mfuko 60k hadi 80k nani atamudu hiyo bei isipokuwa watu wachache tu
 
Yale la Kikwete ya kilimo kwanza yaliishia wapi?
 
Mhhh!!!!!
 
kama viongozi wetu bd wanaendelea kutoa ahadi zisizotekelezeka, huu ndiyo mwanzo wa anguko la ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…