Samia afundishwe kivitendo kuwa Katiba sio "kijitabu" Bali ni " Likitabu likubwa"

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
1759647277955.png

Hiki alichoita " Kijitabu" Ndio kilichomuweka pale, sasa kwakuwa sasa anajiona yeye ni mkubwa kuliko katiba, basi agundishwe kivitendo maana na ukubwa wa Katiba.

Yawezekana ndio maana hata uongozi hauwezi maana hana msingi unaomuongoza (Katiba) hivyo afundishe kwa " Vitendo"
 
Afundishwe mara ngapi!? Asubrie kunyongwa tu
 
Haina haja kumfunza aende akajifunze Zanzibar ya Tanganyika yanawenyewe.
 
Anaweza kuja na kusema katiba inavunjwa😂
 
View attachment 3483648

Hiki alichoita " Kijitabu" Ndio kilichomuweka pale, sasa kwakuwa sasa anajiona yeye ni mkubwa kuliko katiba, basi agundishwe kivitendo maana na ukubwa wa Katiba.

Yawezekana ndio maana hata uongozi hauwezi maana hana msingi unaomuongoza (Katiba) hivyo afundishe kwa " Vitendo"
Mafisadi watalia na kusaga meno
 
View attachment 3483648

Hiki alichoita " Kijitabu" Ndio kilichomuweka pale, sasa kwakuwa sasa anajiona yeye ni mkubwa kuliko katiba, basi agundishwe kivitendo maana na ukubwa wa Katiba.

Yawezekana ndio maana hata uongozi hauwezi maana hana msingi unaomuongoza (Katiba) hivyo afundishe kwa " Vitendo"
Katiba ni kijitabu tu.

Kitu muhimu ni utamaduni wa kuheshinu katiba.

Maana yake unaweza kuwa na katiba nzuri sana, lakini kama hakuna utamaduni wa kuheshimu katiba, hiyo katiba nzuri ni bure tu.

Hamuelewi wapi?
 
Kwani ni uongo kuwa katiba ni kakitabu tuu?.

Tufafanulie, utamfundishaje kwa vitendo?.
Thread 'Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?' PreGE2025 - Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?
P
 
Ngoja niangalie platinum member mwenzangu ametoa comment gani , ili nijitahidi nisiende kinyume na yeye, human animal loves stupidity and drama than loveth man

Wasomi wakitaka kumuunga mkono msomi mwenzao huwa wanajitoa akili, kwahiyo na bendera ni kakitambaa tuu,

Katiba sio kijitabu, this is a sign of contempt.

Mbona anateka watu akikosolewa na wakati ule ukosoaji unafanyika Kwa maneno tuu
 
View attachment 3483648

Hiki alichoita " Kijitabu" Ndio kilichomuweka pale, sasa kwakuwa sasa anajiona yeye ni mkubwa kuliko katiba, basi agundishwe kivitendo maana na ukubwa wa Katiba.

Yawezekana ndio maana hata uongozi hauwezi maana hana msingi unaomuongoza (Katiba) hivyo afundishe kwa " Vitendo"
Wala hainamuda mrefu , watanganyika siyo mafala ,mark my words
 
Katiba ni kijitabu tu.

Kitu muhimu ni utamaduni wa kuheshinu katiba.

Maana yake unaweza kuwa na katiba nzuri sana, lakini kama hakuna utamaduni wa kuheshimu katiba, hiyo katiba nzuri ni bure tu.

Hamuelewi wapi?
Ninavyokujua wewe tumaweza tukaanzisha mjadala ikapita wiki mpaka mwezi hatujakubariana hatijaelewana na usiishe ngoja nikuache
 
Kwani ni uongo kuwa katiba ni kakitabu tuu?.

Tufafanulie, utamfundishaje kwa vitendo?.
Thread 'Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?' PreGE2025 - Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?
P
Kilugha ukisema "kiji... " Masna yake ni kitu kidogo sana ambacho hakina umuhimu au kukitilia maanani. Na oia ukizingatia context alioongelea, ni moja kwa moja ndivyo alivyomaanisha.

Mkuu kwanini unataka kupotosha?
 
Mkuu kwanini unataka kupotosha?
Hili ndilo kosa langu la siku zote humu jukwaani, kuusema ukweli ambao watu hatupendi kuusikia.

Watanzania walio wengi kitabu chao ni Bible au Quran, sasa ukilinganisha hivyo vitabu, katiba ni kakitabu tuu compared, ndio maana kanaweza kusiginwa, na Samia anakwenda kukabadili!.

Mimi nimemuunga mkono Samia, Katiba ni kakitabu tuu! Ila pia nikampiga darasa PreGE2025 - Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?
P
 
Back
Top Bottom