Afundishwe mara ngapi!? Asubrie kunyongwa tuHiki alichoita " Kijitabu" Ndio kilichomuweka pale, sasa kwakuwa sasa anajiona yeye ni mkubwa kuliko katiba, basi agundishwe kivitendo maana na ukubwa wa Katiba.
Yawezekana ndio maana hata uongozi hauwezi maana hana msingi unaomuongoza (Katiba) hivyo afundishe kwa " Vitendo"
Mafisadi watalia na kusaga menoView attachment 3483648
Hiki alichoita " Kijitabu" Ndio kilichomuweka pale, sasa kwakuwa sasa anajiona yeye ni mkubwa kuliko katiba, basi agundishwe kivitendo maana na ukubwa wa Katiba.
Yawezekana ndio maana hata uongozi hauwezi maana hana msingi unaomuongoza (Katiba) hivyo afundishe kwa " Vitendo"
Katiba ni kijitabu tu.View attachment 3483648
Hiki alichoita " Kijitabu" Ndio kilichomuweka pale, sasa kwakuwa sasa anajiona yeye ni mkubwa kuliko katiba, basi agundishwe kivitendo maana na ukubwa wa Katiba.
Yawezekana ndio maana hata uongozi hauwezi maana hana msingi unaomuongoza (Katiba) hivyo afundishe kwa " Vitendo"
Kwani ni uongo kuwa katiba ni kakitabu tuu?.View attachment 3483648
Hiki alichoita " Kijitabu" Ndio kilichomuweka pale, sasa kwakuwa sasa anajiona yeye ni mkubwa kuliko katiba, basi agundishwe kivitendo maana na ukubwa wa Katiba.
Yawezekana ndio maana hata uongozi hauwezi maana hana msingi unaomuongoza (Katiba) hivyo afundishe kwa " Vitendo"
Wala hainamuda mrefu , watanganyika siyo mafala ,mark my wordsView attachment 3483648
Hiki alichoita " Kijitabu" Ndio kilichomuweka pale, sasa kwakuwa sasa anajiona yeye ni mkubwa kuliko katiba, basi agundishwe kivitendo maana na ukubwa wa Katiba.
Yawezekana ndio maana hata uongozi hauwezi maana hana msingi unaomuongoza (Katiba) hivyo afundishe kwa " Vitendo"
Ninavyokujua wewe tumaweza tukaanzisha mjadala ikapita wiki mpaka mwezi hatujakubariana hatijaelewana na usiishe ngoja nikuacheKatiba ni kijitabu tu.
Kitu muhimu ni utamaduni wa kuheshinu katiba.
Maana yake unaweza kuwa na katiba nzuri sana, lakini kama hakuna utamaduni wa kuheshimu katiba, hiyo katiba nzuri ni bure tu.
Hamuelewi wapi?
Kilugha ukisema "kiji... " Masna yake ni kitu kidogo sana ambacho hakina umuhimu au kukitilia maanani. Na oia ukizingatia context alioongelea, ni moja kwa moja ndivyo alivyomaanisha.Kwani ni uongo kuwa katiba ni kakitabu tuu?.
Tufafanulie, utamfundishaje kwa vitendo?.
Thread 'Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?' PreGE2025 - Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?
P
Hili ndilo kosa langu la siku zote humu jukwaani, kuusema ukweli ambao watu hatupendi kuusikia.Mkuu kwanini unataka kupotosha?