Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe

Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe

Pigo litaanzia toka ndani ya CCM yenyewe.
Unaona na kuamini wapo watu wenye ujasiri huo humo ndani ??!
Rejea mambo mengi tu yaliyowahusu mpaka vigogo lakini mwisho wa siku wakanywea na wengine wakatulia tuli kama maji kwenye mtungi 😅🤣🤣 !

Locuta causa finita ! Hii maneno ninaiamini sana sana !!
Imeisha hiyo Wanasemaga wa mjini 😳
 
Back
Top Bottom