Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe

CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu. Nimekaa pale πŸ‘‰πŸ‘‰
Pigo litakuja kwa namna gani na kutoka kwa nani ???!
Kutoka kwenye masanduku ya kura ???!
Nami nimekaa palee nasubiri na codes zangu kichwani πŸ‘¨β€πŸ’» !
 
Pigo litaanzia toka ndani ya CCM yenyewe.
Unaona na kuamini wapo watu wenye ujasiri huo humo ndani ??!
Rejea mambo mengi tu yaliyowahusu mpaka vigogo lakini mwisho wa siku wakanywea na wengine wakatulia tuli kama maji kwenye mtungi πŸ˜…πŸ€£πŸ€£ !

Locuta causa finita ! Hii maneno ninaiamini sana sana !!
Imeisha hiyo Wanasemaga wa mjini 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…