Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Aligombea lini? Na kina nani?Ukitafakari kwa makini hii serikali ni upotevu mkubwa wa mda na rasilimali aisee.
Hatujui nini kinafanyika mipango haieleweki kabisa n̈chi haiendi aisee. unajiuliza alitaka kuwa raisi ili iweje kutupotezea mda.ama vipi Naihurumia sana Tanganyika yangu.
Fuatilia vizuri utaubaini ukweli!