Ni kweli kabisa kitokanacho na haramu ni haramu pia.Kwa kipimo chochote kitakachotumika, huyu ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya chama chake kwa sababu uteuzi wake ulifanywa na wahuni waliopangwa ndani ya chama.
Huyu ni mgombea haramu kwa katiba ya nchi inayotamka wazi kuwa wagombea wa nafasi ya Urais watateuliwa na vyama vyao baada ya kuvunjwa kwa Bunge.
Huyu ni mgombea haramu kwa sheria inayozuia utoaji rushwa kwa wapiga kura. Huyu mtu akiwa tayari amejirangaza kuwa ni mgombea, ameendelea kugawa rushwa nchi nzima kwa wapiga kura.
Hata kama atalazimisha kwa kutumia dola, lakini hilo halitaondoa uharamu wake kwenye nafasi hiyo kwa sababu njia yake ya kufikia nafasi hiyo imejaa uharamu mtupu. Kilicho haramu kwa nchi, ni adui kwa taifa zima.
Chama kina nafasi ya kuondoa kumbukumbu hii mbaya katika historia yake, kwamba iliwahi kuwapelekea wapiga kura mgombea ambaye alidharau na kukiuka taratibu zote ndani ta chama na nchi kwa ujumla kwa usaidizi wa wahuni wachache.
Aweke 'Hamatan'Ukiandika Samia:
Inamaana ni Nukuu ya alichosema Samia,
Boresha uandishi wako
Nadhani hatawazazi wameanza kujitambua ...wanbishi ni kuwazuia kwendaOparesheni ficha kitambulisho cha mpiga kura kwa wazazi itaokoa
Mkutano mkuu wa CCM unayo mamlaka na wajibu wa kuanzisha,kuondoa na kufanya maamuzi kuhusu jambo lolote.Kwa kipimo chochote kitakachotumika, huyu ni mgombea haramu kwa mujibu wa katiba ya chama chake kwa sababu uteuzi wake ulifanywa na wahuni waliopangwa ndani ya chama.
Huyu ni mgombea haramu kwa katiba ya nchi inayotamka wazi kuwa wagombea wa nafasi ya Urais watateuliwa na vyama vyao baada ya kuvunjwa kwa Bunge.
Huyu ni mgombea haramu kwa sheria inayozuia utoaji rushwa kwa wapiga kura. Huyu mtu akiwa tayari amejirangaza kuwa ni mgombea, ameendelea kugawa rushwa nchi nzima kwa wapiga kura.
Hata kama atalazimisha kwa kutumia dola, lakini hilo halitaondoa uharamu wake kwenye nafasi hiyo kwa sababu njia yake ya kufikia nafasi hiyo imejaa uharamu mtupu. Kilicho haramu kwa nchi, ni adui kwa taifa zima.
Chama kina nafasi ya kuondoa kumbukumbu hii mbaya katika historia yake, kwamba iliwahi kuwapelekea wapiga kura mgombea ambaye alidharau na kukiuka taratibu zote ndani ta chama na nchi kwa ujumla kwa usaidizi wa wahuni wachache.
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐Ni haramu na hakubaliki. Lakini msimwambie kama namimi simkubali sawa?
ni muhimu kueleza hoja hizo kwa ushahidi wa wazi na kwa njia ya kisheria badala ya lugha ya matusi au kejeli. Tofauti za kisiasa zinapaswa kuwasilishwa kwa nidhamu, ili kulinda heshima ya mjadala wa umma na misingi ya demokrasia.Ni haramu na hakubaliki. Lakini msimwambie kama namimi simkubali sawa?
Kwa kweli hakuna, kilichofanyika uchaguzi wa 2020 ni ubatili tu ina maana hata serikali iliyopo sasa hivi ni batili tuKuna nini cha halali CCM?
Ni kwasababu tu sisi ni maiti, Kenya wasingekubali haya yatokee.Kwa kweli hakuna, kilichofanyika uchaguzi wa 2020 ni ubatili tu ina maana hata serikali iliyopo sasa hivi ni batili tu
Alijisikia bwana lukasi atakwambia unawanyima haki ya kikatiba et๐๐๐Oparesheni ficha kitambulisho cha mpiga kura kwa wazazi itaokoa
unaweza kukuta ni msomi mkubwa ila hajui alama za uandishiUkiandika Samia:
Inamaana ni Nukuu ya alichosema Samia,
Boresha uandishi wako