Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Chawa mnamharibia mama

nyie si wa kumshusha hadhi Rais Samia namna hii. Yaani toka apewe tuzo ya comedy ni huzuni, sasa anatembea na lebo hiyo kwenye kila anachofanya!
Safari hii mama kaingia kwenye mfumošš¤£, chawa wanazidi kuchochea moto azidi kuonekana Comedian kwelikweliššš
====
Muigizaji na Producer wa Tamthilia mbalimbali Jimmy Mafufu amtaja Rais Samia Hassan kama ndio muigizaji namba moja kwa kuipa thamani tasnia ya filamu nchini kwa kwenda field mwenyewe.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akisema kuwa zamani waigizaji walikuwa wakidharaulika lakini sasa hivi wa hadhi kutokana na Rais Samia kuwa muigizaji namba moja Tanzania leo.
Mafufu ameyasema hayo katika uzinduzi wa kampeni ya LIPA TUKUBUSTI ZAIDI ya Makao Mkuu ya Startimes Dar es Salaam.
Chawa mnamharibia mama

nyie si wa kumshusha hadhi Rais Samia namna hii. Yaani toka apewe tuzo ya comedy ni huzuni, sasa anatembea na lebo hiyo kwenye kila anachofanya!Safari hii mama kaingia kwenye mfumošš¤£, chawa wanazidi kuchochea moto azidi kuonekana Comedian kwelikweliššš