Bana weee we unaona sawa anavyoharibu nchi kwa uchawa, kutoa rushwa hovyo na kuifanya ishamiri.... yeye ndio Rais wa kwanza kutoa baraka viongozi kuiba, tunampiga kivipi wakati anajiua mwenyewe?🤣🤣Mh. Rais kuigiza kwani ni kushushwa hadhi yake au akitengeneza filamu ni kushushwa hadhi? Mbona jamani mnataka kumpiga mawe mama yetu kiasi hiki, hata leo Jpili Kwaresma kali na sala kila kona hampoi nyie?