Samia ameshindwa kutunza mabasi ya mwendokasi, ataweza kuwatunza Watanzania milioni 65?

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Naauliza tu
Mana naona kila siku zikienda ma bus yanakufa moja badala ya jengine
Hata kama analeta mapya hio haitakua dawa
 
Yeye sio Maneger wa mwendo kasi.
Mwendo kasi ni tasisi ambayo haihusiani na Raisi.
Sio kila kina cho haribika ni Raisi.
Kama ataingilia kila kitu mtamwita Dictator.
Mashirika ya kifeli au ma compuni ya kifeli ni wawo wenyewe.

Hata polisi na Usalama wataifa ni taasisi ambazo zina viongozi wawo hazihusiani na Raisi
 
Mi5 mingine ya sa100 tutashuhudia majanga mengi sana kwa taifa...wahuni washamfix!!.
 
Yeye sio Maneger wa mwendo kasi.
Mwendo kasi ni tasisi ambayo haihusiani na Raisi.
Sio kila kina cho haribika ni Raisi.
Kama ataingilia kila kitu mtamwita Dictator.
Mashirika ya kifeli au ma compuni ya kifeli ni wawo wenyewe.

Hata polisi na Usalama wataifa ni taasisi ambazo zina viongozi wawo hazihusiani

Yeye sio Maneger wa mwendo kasi.
Mwendo kasi ni tasisi ambayo haihusiani na Raisi.
Sio kila kina cho haribika ni Raisi.
Kama ataingilia kila kitu mtamwita Dictator.
Mashirika ya kifeli au ma compuni ya kifeli ni wawo wenyewe.

Hata polisi na Usalama wataifa ni taasisi ambazo zina viongozi wawo hazihusiani na Raisi
You don't know shit
 
Mnaposemaga amejenga barabara na madaraja je yeye ni engineer?
 
Naauliza tu
Mana naona kila siku zikienda ma bus yanakufa moja badala ya jengine
Hata kama analeta mapya hio haitakua dawa
Hayo mabasi yapo toka lini mpaka useme Samia si kuna kipindi waliyaacha palejangwan yakaja mafuriko yaliharibika mengi waliwahamisha wananchi waliwapeleka mabwepande halafu hao hao wakajenga sehem ya kuhifadhia mabasi
 
Back
Top Bottom