The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Yeye sio Maneger wa mwendo kasi.Naauliza tu
Mana naona kila siku zikienda ma bus yanakufa moja badala ya jengine
Hata kama analeta mapya hio haitakua dawa
Yeye sio Maneger wa mwendo kasi.
Mwendo kasi ni tasisi ambayo haihusiani na Raisi.
Sio kila kina cho haribika ni Raisi.
Kama ataingilia kila kitu mtamwita Dictator.
Mashirika ya kifeli au ma compuni ya kifeli ni wawo wenyewe.
Hata polisi na Usalama wataifa ni taasisi ambazo zina viongozi wawo hazihusiani
You don't know shitYeye sio Maneger wa mwendo kasi.
Mwendo kasi ni tasisi ambayo haihusiani na Raisi.
Sio kila kina cho haribika ni Raisi.
Kama ataingilia kila kitu mtamwita Dictator.
Mashirika ya kifeli au ma compuni ya kifeli ni wawo wenyewe.
Hata polisi na Usalama wataifa ni taasisi ambazo zina viongozi wawo hazihusiani na Raisi
Endeleeni kuruka na kukanyagana tu. Mama samia analeta maendeleo kwa kasi mno more than jpmMi5 mingine ya sa100 tutashuhudia majanga mengi sana kwa taifa...wahuni washamfix!!.
Mnaposemaga amejenga barabara na madaraja je yeye ni engineer?Yeye sio Maneger wa mwendo kasi.
Mwendo kasi ni tasisi ambayo haihusiani na Raisi.
Sio kila kina cho haribika ni Raisi.
Kama ataingilia kila kitu mtamwita Dictator.
Mashirika ya kifeli au ma compuni ya kifeli ni wawo wenyewe.
Hata polisi na Usalama wataifa ni taasisi ambazo zina viongozi wawo hazihusiani na Raisi
Hayo mabasi yapo toka lini mpaka useme Samia si kuna kipindi waliyaacha palejangwan yakaja mafuriko yaliharibika mengi waliwahamisha wananchi waliwapeleka mabwepande halafu hao hao wakajenga sehem ya kuhifadhia mabasiNaauliza tu
Mana naona kila siku zikienda ma bus yanakufa moja badala ya jengine
Hata kama analeta mapya hio haitakua dawa
21st to rememberNaauliza tu