Samia ana 'options' tatu, tumsaidie kufanya maamuzi sahihi, kila moja ina faida na hasara zake

Samia ana 'options' tatu, tumsaidie kufanya maamuzi sahihi, kila moja ina faida na hasara zake

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Chaguo la kwanza, Samia akiri kilichofanyika Oktoba 29 kilikuwa sio sahihi, aombe radhi, akubali hukumu yeyote kutoka kwa wananchi, aidha kusamehewa au kuwajibishwa, 'kila aombaye husamehewa', ataishi kwa amani.
Kifupi: MUNGU NDIYE HAKIMU MKUU.

Chaguo la pili, Samia akubali kuwajibika mwenyewe asisubiri kuwajibishwa, aachie madaraka ufanyike uchaguzi mpya chini ya tume huru.
Kifupi: KISHERIA NA KIKATIBA.

Chaguo la tatu, Samia akomae na anachokiamini kuwa alichofanya Oktoba 29 yeye na majeshi yake na wasaidizi wake kilikuwa sahihi, asubiri kuwajibishwa na jumuiya ya kimataifa, ila ataishi kwa hofu sana bila amani.
Kifupi: LOLOTE NA LIWE.

Kati ya haya matatu utamshauri afanye uchaguzi upi.
 
Chaguo la kwanza, Samia akiri kilichofanyika Oktoba 29 kilikuwa sio sahihi, aombe radhi, akubali hukumu yeyote kutoka kwa wananchi, aidha kusamehewa au kuwajibishwa, 'kila aombaye husamehewa', ataishi kwa amani.
Umesema inampasa kukubali kusamehewa au kuwajibishwa.

Halafu hapo hapo unasema kila aombae husamehewa. Basi ondoa hiyo kuwajibishwa, haipo. Unaji contradict. Kwa nini jamii na elimu zetu hazijali sana kufundisha logic ???

WEWE ndio utamsamehe. Ingekuwa kila aombae husamehewa kusingekuwa na majela na mahabusu kila wilaya dunia nzima.

Huwezi kuua maelfu mchana kweupe halafu tusahau tu!

Vizee vichache viliuliwa mwaka 1976 Shinyanga na Mwanza, hatujasahu mpaka leo. Sembuse halaiki hizi zinafuatwa majumbani zinachinjwa, tunapotezea vipiiiiiii???
 
Umesema inampasa kukubali kusamehewa au kuwajibishwa.

Halafu hapo hapo unasema kila aombae husamehewa. Basi ondoa hiyo kuwajibishwa, haipo. Unaji contradict. Kwa nini jamii na elimu zetu hazijali sana kufundisha logic ???

WEWE ndio utamsamehe. Ingekuwa kila aombae husamehewa kusingekuwa na majela na mahabusu kila wilaya dunia nzima.

Huwezi kuua maelfu mchana kweupe halafu tusahau tu!

Vizee vichache viliuliwa Shinyanga 1976 Shinyanga, hatujasahu mpaka leo. Sembuse halaiki hizi zinafuatwa majumbani zinachinjwa, tunapotezea vipiiiiiii???
Hiyo verse ni ya bible mkuu nime quote tu hizioni hizo quotation marks.
 
Shida sio samia, shida ni walii muweka ambao ndio walifanya JPM alale alipo lala.

Hata akijiuzuru samia, Atakuja mwingine wanao mtaka wao.
 
Back
Top Bottom