Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Samia anaongea na wazee kwamba wazee ndio wamshauri yeye au yeye ndio anaenda kushauri wazee.
Ana tapatapaSamia anaongea na wazee kwamba wazee ndio wamshauri yeye au yeye ndio anaenda kushauri wazee.
Anachotaka nikuendelea kungangania madaraka na kutaka kuhalalisha uuaji, utekaji, etc anaoufanya. Wewe Iddi Amini Mama siku zako zinakaribia sana za kukupeleka kuzimu. MARK MY WORD!Samia anaongea na wazee kwamba wazee ndio wamshauri yeye au yeye ndio anaenda kushauri wazee.
Wazee wanaenda kufokewa leoSamia anaongea na wazee kwamba wazee ndio wamshauri yeye au yeye ndio anaenda kushauri wazee.
Anaenda kuwaambia serikali haina njia mbadala ya kulinda amani,hivyo wazee wafungie ndani watoto na wajukuu waoSamia anaongea na wazee kwamba wazee ndio wamshauri yeye au yeye ndio anaenda kushauri wazee.
Saa Tano mkuuSaa ngapi kwanza kwa saa za bongo